Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

mie hakuna hata moja linanihusu hapo. Ukiona mtu kakwambia tuma picha ujue wewe siyo mwaminifu na ameshajirisha kuwa upo hivyo.

Unajua mwizi huwa anahisi kila mtu mwizi mwenzie... me naamin akiwa anawivu sana ujue yeye ndiyo siyo mwaminifu
 
Mimi hapa ICHANA ila ndo unanitoa kwenye majukumu ujue..haya umenimiss?

Nimekumiss mbaya.
Hat hapa ni majukumu pia hili lisiredi la miss chagga linakimbiza mbaya
Atleast useme lako neno
 
Last edited by a moderator:

Muda mwingine huwa inakuwa ni kweli. 'I Trust You' is a better than 'I Love You' because you may not always trust the person you love but you can always love the person you Trust"

But wengi we love the person we dont trust
 

Umeongea vyema sio huyo anaewaza kitandani na kuchuna hela
 
Wanaume huja kwa pakacha ikiwa ni mseto wa mazuri na yakerayo ya tabia, maumbile, akili, ustaarabu, n.k. Kua makini sana uchaguapo wa kuishi nae milele. Kwanza mdada lazima ujue unachokitaka ndipo uchague/uteue pakacha lako. Haitakaa itokee upate mwanaume mwenye kila kitu kizuri. Narudia, HAITAKAA ITOKEE.

Siku hizi wadada wanatafuta mwanaume mkamilifu. Na wanaume nao bahati mbaya sana wameaminishwa unaweza kuwa bora kwa kila jambo. La hasha! Small wonder ndoa za siku hizi hazidumu. Vya kukera vipo kila upande dada zangu. Tuvumiliane na sote tujifunze kuangalia mazuri na undani wa mwenza tarajali. Wanigeria wana msemo wao; ukifumba macho yako usione mabaya yanayopita, hata yale mazuri yanayoandamana nayo hutayaona...
 

-kuoga na kuacha sabuni na dodoki chini wakati alivikuta kwenye holders
-kukojoa na kuacha mitone ya mikojo kwenye choo hasa vyoo vya kukalia
-kulala bila kupiga mswaki halafu alfajiri morning glory anataka denda, ptuuuuu
-kumaliza jusi yote kwenye friji bila kujali wengine watakunywa nini
-kula mapaja na vidari na kuachia watoto na mke shingo na mgongo wa kuku
- kurudi nyumbani saa 7 usiku akiwa amelewa na kesho yake saa 4 kwenda bar kuzimua na kupata supu huku nyumbani mke na watoto wakigombania viandazi na chai ya rangi, kisha kupitiliza huko huko na washkaji mpaka saa 7 tena jumamosi na jumapili. Hovyo kabisa!
-mama katoka, huku nyuma mtoto anajisaidia na baba anamwacha aungue na mikojo mpaka mamake arudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…