Mambo wafanyayo wanaume yanayokera

Dada yangu mwanaume wa style hiyo utakuwa umemuokota bar, katika hatua zenu za urafiki/uchumba mpaka ndoa hukupata muda wa kumchunguza? Hata kumtembelea nyumbani kwake? Au mlikuwa mnakutana gest house?[/QUOTE]
hizi mada ukitaka uwe fair usiwe personal!
we kwa akili yako niliyoandika hapo nimeandika kutoka hewani?
na kimsingi unafikir yote hayo unayakuta kwa mtu mmoja?
msijadili mada za kiutuuzima kwa akili ya kitoto!
tanua upeo na uwezo wa kufikiri !
angalia maisha mengine thn weka hoja mezani sio unaongea ongea tu kama umekunywa maji ya choo cha hiyo gesti unayofikiri ndiko watu wanakutana ili mpaka wanaoana!
mxxxxxxxxxxxxxxxiou!
 
Dada yangu mwanaume wa style hiyo utakuwa umemuokota bar, katika hatua zenu za urafiki/uchumba mpaka ndoa hukupata muda wa kumchunguza? Hata kumtembelea nyumbani kwake? Au mlikuwa mnakutana gest house?
hizi mada ukitaka uwe fair usiwe personal!
we kwa akili yako niliyoandika hapo nimeandika kutoka hewani?
na kimsingi unafikir yote hayo unayakuta kwa mtu mmoja?
msijadili mada za kiutuuzima kwa akili ya kitoto!
tanua upeo na uwezo wa kufikiri !
angalia maisha mengine thn weka hoja mezani sio unaongea ongea tu kama umekunywa maji ya choo cha hiyo gesti unayofikiri ndiko watu wanakutana ili mpaka wanaoana!
mxxxxxxxxxxxxxxxiou![/QUOTE]

Atanue upeo??????????

Nimekumis ujue!!
 
Noted.
Asante kwa ushauri.
Sasa huu uzi msiuchakachue.
 
Atanue upeo??????????

Nimekumis ujue!![/QUOTE]

mi nilikumithi jana uthiku na leo athubuhi athubuhi
unawahi kurudi leo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…