Mambo vp?

Mambo vp?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Mgambo wa kimakonde aliwakamata wacheza kamari.kamari hii waliicheza kwa kutumia kikombe na sarafu,wanaizungusha ndani ya kikombe na kuichungulia..Mmakonde akaanza kutaja orodha ya makosa(1) kocha la kwanja ni kumbana pumji raichi(2)kocha la pili ni kumjungurucha raichi(3)na kocha la tatu ni kumchungulia kwa jarau,wote mko chini ya ulinzi.i.e raichi=rais,jarau=dharau,pumji=pumzi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom