nina jambo linanitatiza sana labda mtanisaidia kunifungua akili.
nina mchumba yupo nje ya nchi na nilikutanishwa na dada yake tulipokuwa shule kwa njia ya simu tu.
na nimekutana nae mara moja tu katika uhusiano wetu ambao ni kama mwaka na nusu,....lakini shida ipo kwenye mawasiliano na huyu jamaa tunaweza kaa hata mwezi hajanitafuta mie ndo namtafuta....anasema yupo busy na kazi.
hivi hapo ni sahii kweli au.
mnisaidie mawazo jamani na mimi nampenda sana.