MAMBO VIPI Wana chifchat

MAMBO VIPI Wana chifchat

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
Ujue Ni Kitambo Sana Siku Hizi Sionekani Jamvini .Ujue Sababu Niko Mahangaiko Makubwa Kusaka Pesa.Napiga kazi asubuhi mchana jioni na wakati mwingine hadi usiku najikuta nakosa muda wa kuzama jamvini.Basi Nimeona Leo Niwasilimie Wadau Kuonyesha Kwamba Tuko Pamoja . CC Mtoto halali na hela Dinazarde janeth1 ladyfurahia na wadau wengine jumapili njema.
 
Last edited by a moderator:

Unpotea hadi sio vizuri...haya karibu mjengoni best...jumapili njema pia.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama ni kutafuta pesa unashindwa kuingia humu mara moja moja?Hela zipo tu bwana
 
Unpotea hadi sio vizuri...haya karibu mjengoni best...jumapili njema pia.

Asante sana ujue nina ndoto ya kuwa tariji mkubwa sana .Si unajua tena kama mtu huna pesa husaminiwi kabisa ndo maana nimeamua kusaka pesa kwa kila njia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom