Mambo usiyoyajua kutoka kwa Bill Gates

Mambo usiyoyajua kutoka kwa Bill Gates

Wakati kwenye umri wa miaka 32 ndio jamaa anatangazwa billionea kaka yangu ndio anatangazwa kuwa mlevi MMBWA.....
hana maana uyo kaka yako cha msingi tafuta mtu mwenye bata au mbuzi alafu badilishana nae, yeye mpe uyo kaka yako mlevi alafu wewe chukua bata
 
kwa wewe yeyote aliye na zaidi ya miaka 32 ..una hali gani kiuchumi sasa hivi? ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Tafakari...chukua hatua..hakielimuuu
nb: mi sijafika 32 bado.

Hili Kweli Ni Tatizo Mkuu Unakutana Na Kijana Anachezea 35 Lakini Hana Hata Kitanda Achilia Mbali Mtoto, Bado Anakula Kwa Mzazi Wake Sio Mtu Wa Kununua Hata Sabuni. Lakini Wenzetu Miaka 19 Kameshatusua. KIUKWELI INASIKITISHA.
 
Gazeti linanitia mashaka

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Hili Kweli Ni Tatizo Mkuu Unakutana Na Kijana Anachezea 35 Lakini Hana Hata Kitanda Achilia Mbali Mtoto, Bado Anakula Kwa Mzazi Wake Sio Mtu Wa Kununua Hata Sabuni. Lakini Wenzetu Miaka 19 Kameshatusua. KIUKWELI INASIKITISHA.
Usishangae huyo wa 35, kuna jibaba hapa mtaani lina karibia 40 linaomba 100, mara 200 eti akachangamshe kichwa na pure..
 
Dah! Wengine ndo ata ndoto ya kuwa lakionea hakunaaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Hili Kweli Ni Tatizo Mkuu Unakutana Na Kijana Anachezea 35 Lakini Hana Hata Kitanda Achilia Mbali Mtoto, Bado Anakula Kwa Mzazi Wake Sio Mtu Wa Kununua Hata Sabuni. Lakini Wenzetu Miaka 19 Kameshatusua. KIUKWELI INASIKITISHA.
yaani ulichosema sawasawa
 
kwenye imani yake yeye si mkatoriki bari ni sda ndie anae fadhili kuhubiri kwa satellaite kwa sda
 
tumaini peter;
kwenye imani yake yeye si mkatoriki bari ni sda ndie anae fadhili kuhubiri kwa satellaite kwa sda

Unauhakika?
 
Bill hazungumzi kiswahili...tunaomba nakala ya kiingereza tutafsiri wenyewe...
 
Back
Top Bottom