Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,767
- 35,699
Pia kuna dua maalum ya kumchinja, akisomewa yeye mwenyewe anageukia kibla tayari kwa kuchinjwa.Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza kuwa maji safi yanayofaa kwa kunywa.
Ngamia pia hula miiba na haidhuru tumbo lake au utumbo wake kwa sababu mate yake huyeyusha miiba kama asidi.
Ngamia ana kope mbili: moja ni nyembamba na ya uwazi, nyingine nene na yenye nyama. Dhoruba ya mchanga inapoanza katika jangwa, hufunga kope lake la uwazi ili kuzuia mchanga usiingie machoni pake.
Ngamia pia anaweza kubadilisha joto la mwili wake: ikiwa ni baridi joto lake huongezeka, ikiwa ni moto katika jangwa la joto joto la mwili wake hupungua. Sifa alizo nazo mnyama huyu mzuri na wa kipekee ni za kuvutia.
Credit: Jr™ Creators!
Ngamia si halali mkuu ni ULAFI unawasumbua waarabu.Hata ingekuwa sahihi, wewe ni katika walawi? mambo ya walawi yanakuhusu nini? kwetu ngamia ni halali.
Na hiki ni kielelezo tosha kwamba uislamu ni dini ya kweli na ya haki.Ndio mnyama pekee analaza shingo yake kwa hiari umchinje
Sasa inakuwaje wanakula Ngamia halafu hawali Nguruwe...Ngamia si halali mkuu ni ULAFI unawasumbua waarabu.
Hapigi magoti hovyo hovyo, anapiga goti mpaka isomwe dua na kwa watu safi.Kumchinja huwa anapiga magoti mwenyew,aiseee tuna roho ngumu
Ndio.Nasikia kumchinja ni mpaka dua ifanyike
Umeelezea vozuri,kwa kutumia Qur'an.Mungu yupo,muumba kila kitu,tunachokijua na tusichokijua?"Je hawamtazami ngamia. Jinsi alivyoumbwa?"
"Do they not ever reflect on camels—how they were ˹masterfully˺ created"
88:17 Qur an
Hii iwafikie wote wapinga uwepo wa Mungu humu
View attachment 3167381
Kwani ngamia ni muislam?Na hiki ni kielelezo tosha kwamba uislamu ni dini ya kweli na ya haki.
Hao wengine hawana mambo mengi, wanapigiwa Bismillah wanaelekezwa kibra unachinja, ila kwa ngamia mpaka aridhie ,kinyume na hapo atatafutwa hata shekhe nje ya mkoaWanyama wote wana dua kuanzia kuku ila ya ngamia ndio kubwa
Nenda kaombe kwa jina la baba,na la mwana na la roho mtakatifu kama utafanikiwa kumchinja.Kwani ngamia ni muislam?
WanazinguaSasa inakuwaje wanakula Ngamia halafu hawali Nguruwe...
Point yangu ni kuwa kila Mnyama au ndege yuko unique.. kutokana na mazingira yake anayoishi.. hakuna mnyama mwenye upekee kwenye uumbaji..Ngamia huwezi kumfananisha na kinyonga unless hujui upekee wa uumbaji wa ngamia.
Eeh waislam mna mahangaiko!Nenda kaombe kwa jina la baba,na la mwana na la roho mtakatifu kama utafanikiwa kumchinja.
Inashangaza sanaNdio.
Na anapiga goti mwenyewe na kulia
😀 Kinyungu ukiwa Roma ishi kama waromaNgamia ni haramu kabisa kwa mujibu wa Biblia. Ndiyo maana Wakristu na Wayahudi hawachomi ngamia wala kunywa maziwa yao
Walawi 11:4
Pamoja na hayo, wanyama hawa hamtawala katika wale wenye kucheua, na katika wale walio na kwato; ngamia, kwa sababu yuacheua lakini hana kwato, yeye ni najisi kwenu.
Au wewe Mshana Jr unakunywa maziwa ya ngamia?
Hii ni Myth hebu leta ushahidi wa hii...?!Ndio mnyama pekee analaza shingo yake kwa hiari umchinje
☕️🍩Ndio mnyama pekee analaza shingo yake kwa hiari umchinje
DaaaaaNgamia anaweza kunywa galoni 30 (lita 135) za maji kwa dakika 3.View attachment 3168244
,Kweli kweli,maajabu ya MunguNgamia anaweza kunywa galoni 30 (lita 135) za maji kwa dakika 3.View attachment 3168244
Uongo mtupu hii habari ya evolutionHuwa nasema watu wenye akili hawawezi kuongelea upuuzi kama evolution, hizo ni theories za watu wasio na maarifa ijapokuwa wanatajwa kwa heshima kama wameongea cha maana vile, eti hata twiga shingo zao zimerefuka kwasababu majani yaliisha chini ikabidi wayafuate juu, mxeww.