Mambo si shwari New Habari kwawaka moto

kasome MwanaHALISI la leo, headline inasema "Dk. Slaa: Kikwete ahadaa wananchi" alafu inasema story kamili UK 2. ukienda UK 2 unakuta ni story ya JK kuua magazeti ambayo ipo tena UK 6.
mbona hii post watu wanaikwepa au kwavile inahusu gazeti la chama?
 
Sasa kuna nini cha kuchangia na habari inajitosheleza, jamaa alikuwa tungi, kafanya madudu kazini, bosi wake kampa masaa 48 ajieleze. Kuna nini cha kuchangia?
 
Back
Top Bottom