Mambo si shwari New Habari kwawaka moto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo si shwari New Habari kwawaka moto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OgwaluMapesa, Apr 6, 2011.

 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hali ya mambo si shwari ndani ya kampuni ya New Habari Corporation baada Mkurugenzi Mtendaji Husein Bashe kumpa mhariri mtendaji wa Mtanzania Deudatus Balile ajieleze ndani ya masaa 48 kwanini asichukuliwe hatua kali za kinidhamu ,tukio hili limetokea baada ya Balile kuandika kuandika kichwa cha habari (Front Page) kisichofanana na Habari yenyeye.Inasemekana Mhariri Balile alikuwa tungi wakati anaandika habari hiyo "Kamanda huu ni uzembe mkubwa na jana nilimkataza Balile Hasiende Editorial kwasababu alikuwa amelewa kinoma unajua tangu ateuliwe kuwa mhariri mtendaji jamaa kachanganyikawa hakuamini siku moja anaweza akafika position ya ME Elimu yake ni ndogo ni Primary teacher by profesiona''alisikika akisema mwandishi mwenzake

  Kilichomponza Balile Habari hii Heading (Front Page)Haifanani na Habari yenyewe

  MAASKOFU WAJA JUU

  *Wahoji mchakato kuanzishwa, kumalizwa na Rais
  *Wahofu maudhui kutokidhi matarajio ya Watanzan
  AKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amewahakikishia Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kwamba mchakato wa kutoa maoni kuhusu Katiba mpya ya Tanzania utashirikisha wananchi wote. Akiahirisha kikao cha Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar jana , Balozi Seif alisema Rais Jakaya Kikwete ameelezea mchakato mzima wa uandaaji katiba mpya na msimamo wa Serikali.
  Idd alisema pia kuwa tayari Rais Kikwete amefanya mawasiliano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein.
  ‘Waheshimiwa wajumbe napenda kuwajulisha kwamba kila mwananchi atashiriki kwa ukamilifu katika mchakato wa Katiba mpya…hakuna atakayeachwa,” alisema Balozi Seif.
  Alisema wanasheria wa pande mbili za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamekuwa wakiandaa utaratibu mzuri ikiwamo kutoa maoni juu ya suala hilo.
  “Mawasiliano ya awali kuhusu mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya umefanywa na viongozi wetu wawili, Rais Kikwete na Rais Dk Shein, hatua zinazofuta zimebakia kwa wataalam wetu,” alisema.
  Alitoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kutoa maoni yao wakati wa mchakato wa kuandaa katiba mpya utakapofika.
  Baraza la Wawakilishi limeahirishwa hadi Juni 15 mwaka huu litakapokutana katika kikao cha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 20011/2012.
   
 2. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,559
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Balile ana elimu ya kutosha tu,ila tatizo ni kuwa anatumiwa na mafisadi kupindisha mambo ya kitaaluma.

  Kumbuka balilie ndiye aliayenzisha Tanzania daima(kwa mana ya uendeshaji wa mwanzo kabisa) na alikuwa akifanya vema na hapo alikwenda masomoni nje ya nchi kwa mika 3 kabla ya kurudi akiwa amebadilika au amebadilishwa.
   
 3. P

  Pokola JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  No single person is serious in Tanzania, why the hell should he??
   
 4. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  The mother of all is evil is speculation
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tangu lini Hussein Bashe amekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Habari Corporation?
   
 6. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  MAYBE i am living in a diffrent world,i thought before the unprinted papers hit the press,proof readers have to work to do OR ethics differ country by country
   
 7. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,094
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  yes he is,kaukwaa si siku nyingi mkuu.
   
 8. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  anavigezo au ndo kupoozana??
   
 9. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Hivi bado kuna watu makini wanasoma Mtanzania ?.
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Na bado, hiyo New Habari Corpration is almost dead now. Magazeti hovyo hayana mvuto. Kama sehemu yangu ya kazi huwa kabisa hatuna motisha wa kupeleka huko kazi/matangazo maana ni hovyo tu. Kazi za ibilisi na zife kiibilisi tu.
   
 11. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ndo maana yule miss kamdondokea. Ameona kijana ni potential. She saw a green light in him kama CCM itaendela kuwa madarakani (Which I am so doubtful). Mambo ya u first lady hayo.
   
 12. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #12
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  kasome MwanaHALISI la leo, headline inasema "Dk. Slaa: Kikwete ahadaa wananchi" alafu inasema story kamili UK 2. ukienda UK 2 unakuta ni story ya JK kuua magazeti ambayo ipo tena UK 6.
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Nadhani tatizo liko kwa Mkuu wa Kitengo cha Usanifu Kurasa (DTP) aitwaye Essi Ogunde -- ambaye ni swahiba mkubwa wa Bashe hata kwa kiwango cha huyo Essi kumtafutia visichana Bashe ambaye inasemekana 'huwashughulikia" katika ofisi yake pale New Habari baada ya waandishi na wafanyakazi wengine wote kumaliza kazi na kuondoka.

  Naye Essi ni mtu ambaye huwa anajitwisha tungi sawasawa -- karibu mchana kutwa huwa haonekani pale ila huja jioni tu akiwa 'nzaaa!' na kufanya usanifu wea Ukurasa wa kwanza wa Mtanzania. Bila shaka jana ilikuwa ni hivyo -- bila shaka wote wawili walijitwisha! Essi naye alitakiwa kuandikiwa ajieleze.

  Ninaelezwa kwamba pale New habari kuna matatizo makubwa sana ya watu kutopewa mishahara hadi siku zaweza kupita ishirini au zaidi. Inawezekana pia haya ndiyo matokeo yake.
   
 14. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Yes Bashe is the MD wa HCL
   
 16. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Hiyo kali! lazima awajibishwe, pombe na kazi? hbinadamu bwana akifukuzwa kazi anasema ana mkosi, kuna mkono wa mtu, ohh Mungu kaniacha, jamani.
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Apr 6, 2011
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Very true.
   
 18. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  balile atakubali kujieleza kwa bashe wakati yeye ajira yake imetokana na rostam mwenyewe ?
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Apr 6, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  It's not true! Dokta wetu wa Ukweli yuko serious.
   
 20. Al Zagawi

  Al Zagawi JF-Expert Member

  #20
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,721
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  mkuu upo nji hii kweli???????????
   
Loading...