JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Mbona unarukaruka kama bisi kikaangoni! Tulia sehemu moje aisee
Ahahahha, nafurahi sana. kama kweli wewe ni msukuma nakuheshimu. mlitupa mke mkuu. Lazima nikuheshimu.
Mbona unarukaruka kama bisi kikaangoni! Tulia sehemu moje aisee
Hacha hasira mama, taratibu tu tutaelewana. Njoo tutafanya matanuzi beach mtoto mzuri. husiogope. huku al shabab hakuna.
Halafu wewe mama, watoto wa panya road mumewazalia Bongo na sasa wamekua kero, naona kwenye Facebook jinsi Watanzania wanavyolalamika.
Mtoto wa nyoka ni nyoka, muwachukue watoto wenu na kurudi kule mbugani.