Mambo si Shwari EAC-as Kenyan celebrates Jamhuri day

Wewe hapo umesingizia Kenya visivyo. Kenya iliwakilishwa na rais Uhuru Kenyatta tarehe 27 mwezi wa nne kwenye sherehe za muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar mwaka huu, ndio hii hapa link "Among other leaders who attended theAnniversary celebrations were PierreMkuluziza of Burundi, Yoweli Museven ofUganda, Uhuru Kenyatta of Kenya, and KingMtswati of Swaziland." m.allafrica.com/stories/201404270026.html/
 
Ladies and gentleman, ilikuwa ni juzi tu
, Tanzania celebrated her independence day (9 December 2014) as to mark the 53 years of its independence tangia tulipo mung'oa mkoloni baada ya kazi nzuri ya waasisi wa taifa hili kudai uhuru bila kumwaga damu (Army struggle and Bloodshed). ilikuwa siku Muhimu Kwetu. Lakini cha Kushangaza sijaona Rais yeyote within the EAC akija kushirikiana nasi to celebrate that important day in our history.

THE OTHER WAY AROUND

kENYA leo wame celebrate their 51 years of independence (Jamhuri Day) but sijaona Rais wala mwakilishi kutoka Burundi despite the fact that, BURUNDI is among the member states forming the EAC. TZ imemtuma MH. Samwel Sitta kumwakilisha MH. RAIS, ( Note: our president is recovering from sickness and that's excusable). kama kawaida coalition of the willing walikuwepo wote.

PRESIDENT KAGAME wondering to honourable Sitta as he was being introduced by Ruto

wakati Mheshimiwa Ruto anamtambulisha Mh. Sitta, kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania, President Kagame aligeuka fasta kumwangalia Sitta ambaye alikaa viti vya nyumba kutoka viti vya marais (Protocol). kulingana ninavyojua siasa hizi za Africa Mashariki, PK alivyogeuka kumcheki SITTA, kunaleta tofasiri tofauti......(based on my assumption)

EAC treaty

Article 23 of the East African community treaty provides for the Co-operation in political matters. for instance in the same article 23(3) (e)-(f) provides that; The objectives of the common foreign and security policies shall be to promote co-operation at international fora; and enhance the eventual establishment of a Political Federation of the Partner States.

THE FUTURE OF EAC

I can see darkness ahead, on determining the future of EAC. viongozi wa EAC hawaaminiani na wanaonyeshana chuki sometimes waziwazi. wametugawa hata sisi wananchi. maybe hatukuwa tayari kuingia kwenye EAC. what about the role of rwanda on distabilising the friendship we historically enjoyed in triple way (Kenya, Uganda and TZ)??...mwenye
majibu atusaidie...!!!

NINI KIFANYIKE

(1) TZ imekuwa attacked kuwa ndo inakwamisha malengo ya EAC, ingawa si kweli. it is now high time to decide who to become our friend. tunaweza progress even without EAC. kuna nchi zimebaki kuwa waaminifu wa TZ iwe masika or kiangazi (summer) na ni muda mwafaka wa kuwarudia marafiki wetu wa kweli (nchi za kusini mwa Africa) kwa dhamila ya kweli na vitendo kwa manufaa ya vizazi vya leo na kesho.

OR

(2) nchi za Africa Mashariki, zikae pamoja na kuondoa tofauti zao na zi-implement makubariano ya kwenye Mkataba (EAC treaty) na kuweka vipaumbele kwenye maendeleo ili wafikie malengo ya umoja huo.

(3) Baadhi ya raia kwenye umoja huo waache nyodo (superiority complex) kwamba wao ndo best races or mara educated persons in entire EAC na blabla nyingine mingi.

Chukua Hatua

Huu ni uongo na uzushi, Tanzania ipi unayoiongelea?
 
Sherehe ya marekani sio sawa na ya canada, urusi, china wala ufaransa, kenya ndo super power wa East Africa kwa hiyo ni lazima nchi nyingine ziende pale.[/QUOTE
Mkuu Sexer, siyo kweli kwamba kenya ni super power katika Africa Mashariki. labda ufafanue ni super power kwenye nini..!! kama ni kiuchumi, sawa yuko ahead, when compared to other EA member countries. hata hivyo, kwa statistics za kiuchumi za mwezi wa October and November, uchumi wa kenya unazidi kushuka, probably bse of te.rrorism issue (insecurity), kama ni Jeshi, TZ ndo baba lao. Hata hivyo hizo Dharau ndo zimetufikisha hapa
 
Mkuu Wacha1, wenzako wameshaelewa ni Tanzania ipi inayozungumziwa hapo. kwani tuna Tanzania ngapi? mkuu, hata class siyo wote wanaoelewa papo kwa papo. wengine huelewa baadae sana. you still have time to learn and understand
 
Sherehe ya marekani sio sawa na ya canada, urusi, china wala ufaransa, kenya ndo super power wa East Africa kwa hiyo ni lazima nchi nyingine ziende pale.[/QUOTE
Mkuu Sexer, siyo kweli kwamba kenya ni super power katika Africa Mashariki. labda ufafanue ni super power kwenye nini..!! kama ni kiuchumi, sawa yuko ahead, when compared to other EA member countries. hata hivyo, kwa statistics za kiuchumi za mwezi wa October and November, uchumi wa kenya unazidi kushuka, probably bse of te.rrorism issue (insecurity), kama ni Jeshi, TZ ndo baba lao. Hata hivyo hizo Dharau ndo zimetufikisha hapa

Kwa maswala ya kijeshi waachie wenyewe!
Uchumi wa Kenya kushuka, umeshaeleza sababu. Ila zingatia kuwa bado wako juu ingawa tunawazidi resources. Hii ina maana, tukipata viongozi wasioenda kujenga bandari kwa kigezo cha nyumbani, kiongozi anayeondoa mazingira ya uibaji hela za Umma, kiongozi anayepinga ufisadi kwa dhati, kiongozi atakayezingatia uwakilishi stahiki wa wazawa kumilikishwa sehemu ya raslimali ya nchi, nk; nchi yetu itapaa!
 
Mkuu Anjo, uko sahihi kabisa. Tanzania ni nchi yenye resources nyingi ila ilikosa watu(viongozi) wenye Akili wa ku-utilise hizo raslimali kwa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla. tuna kila kitu to mention in few, Bandari, mbuga za wanyama, madini, etc etc....lakini hatuna utofauti na kutokuwa nayo. bahati mbaya tumepoteza dira na tumebaki kulalamika. kinachoshangaza, ni kuwa kila mtu analalamika, kuanzia Rais, waziri mkuu, wabunge mpaka common mwananchi kama mimi bado nimebaki kulalamika. mkuu kama hautojali, nina hypothesis zifuatazo, kama utakuwa na majibu yake itapendeza;

(1) Kutoendelea kwa Tanzania kiuchumi, si kwamba kunasababishwa na sera mbovu na maono butu chini ya influence ya World bank na IMF

(2) Kulingana na Elimu duni tulizonazo sisi wananchi tumeshindwa kufanya maamuzi sahihi yenye kuleta Tija kwa nchi kwa kushinda tunashabikia vyama badala ya sera na kuwaweka madarakani vibaka wa uchumi wa nchi? je nani alaumiwe?

(3)kuna hearsay kuwa, mwaka 1984 tulikumbwa na baa la njaa nchini TZ na hali ilikuwa mbaya sana.(mimi mwenyewe shahidi) hivyo basi mwalimu Nyerere alikwenda USA kuomba msaada wa chakula. kweli US walitupa msaada wa chakula, unga wa yellow corn (yanga) ambacho kwao ni chakula cha kulisha mifugo. the point here is, unga ule ulikuwa na madhara makubwa kwa watumiaji (genetically). hivyo basi, side effect zimeendelea kuwepo vizazi kwa vizazi. ndo maana kuna tofauti ya thinking capacity kati ya generation ya miaka ya 70,80,90 mpaka leo. therefore our political leaders are victims of the circumstance. cant think beyond the box. (Note: hii ni hearsay na sina uhakika nayo)
 
Ntakubaliana na mawazo yako ingawa hilo la njaa 1984 na unga wa madhara sina uhakika. Kwa vyovyote tulikula ila bado watu tuna busara zetu ingawa hazipewi nafasi kuonekana au kusikilizwa kutokana na baadhi ya viongozi kutaka kujazilizia matumbo ulipopungua unga wa 1984.
 
Hakuna super power hapa wote wakawaida
4

hahahah...eti super power!!! Mkuu MOTOCHINI, you are very right. hakuna super power in EAC. wote ni wa kawaida tu. tunazidiana vitu vidogo vidogo tu. otherwise we're all under the same level. I bet TZ tungekuwa mbali sana kama tusingejiingiza kwenye vita ya ukombozi ya nchi za kusini mwa Africa. kuanzia south africa, namibia, Mozambique na sehemu nyingine kibao. lakini wenzetu walikuwa wametulia tu wanajenga uchumi wao. mwaka 1984 tuliwekewa vikwazo vya kiuchumi na hali ilikuwa mbaya sana hapa Bongo. but our fellows were busy on their economies. what if tungeamua kuwa wachoyo (selfish) tukakaa kwetu bila kumsaidia mtu, TUNGETISHA SANA....
 
[/B]
kwani nyie mmepeleka rais kwenye sherehe za uhuru wa kenya?
lakini imesemwa hapo na mleta mada nami pia nakubaliana naye our presedent is still recovering from his sijui tezi dume sijui faru dume yeye mwenyewe anajua...alienda six kwa niaba!!wao sijui kama walituma kwa niaba wao...
 
wacha serikali zinuniane tu siye raia tunaendelea tu kuruka na vibint vya kikuyu,kituts,kihutu,kiganda!

habari ndio hiyo..nipo manyara nimeotea mtoto wa kikenya hatari...nakaribia kuwa kama ngoswe..
 
Moja na tatu ndo sahih kwan wao wakina nani kwa tz? wajue yao nas yetu,tusisumbue vichwa kwa upuz wawatu wasie na faida kwetu mojakwa moja na ktk nchi ambayo sion umuhim kwa tz ni rwanda kwetu nikama mjusi kwa anaconda

Hii isijekuwa ni dharau ya fihi!
 
habari ndio hiyo..nipo manyara nimeotea mtoto wa kikenya hatari...nakaribia kuwa kama ngoswe..

hahahaha...kazi na dawa mkuu. i miss the book anyway.(KITABU CHA NGOSWE)
 
Ladies and gentleman, ilikuwa ni juzi tu, Tanzania celebrated her independence day (9 December 2014) as to mark the 53 years of its independence tangia tulipo mung'oa mkoloni baada ya kazi nzuri ya waasisi wa taifa hili kudai uhuru bila kumwaga damu (Army struggle and Bloodshed). ilikuwa siku Muhimu Kwetu. Lakini cha Kushangaza sijaona Rais yeyote within the EAC akija kushirikiana nasi to celebrate that important day in our history.

THE OTHER WAY AROUND

kENYA leo wame celebrate their 51 years of independence (Jamhuri Day) but sijaona Rais wala mwakilishi kutoka Burundi despite the fact that, BURUNDI is among the member states forming the EAC. TZ imemtuma MH. Samwel Sitta kumwakilisha MH. RAIS, ( Note: our president is recovering from sickness and that's excusable). kama kawaida coalition of the willing walikuwepo wote.

PRESIDENT KAGAME wondering to honourable Sitta as he was being introduced by Ruto

wakati Mheshimiwa Ruto anamtambulisha Mh. Sitta, kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania, President Kagame aligeuka fasta kumwangalia Sitta ambaye alikaa viti vya nyumba kutoka viti vya marais (Protocol). kulingana ninavyojua siasa hizi za Africa Mashariki, PK alivyogeuka kumcheki SITTA, kunaleta tofasiri tofauti......(based on my assumption)

EAC treaty

Article 23 of the East African community treaty provides for the Co-operation in political matters. for instance in the same article 23(3) (e)-(f) provides that; The objectives of the common foreign and security policies shall be to promote co-operation at international fora; and enhance the eventual establishment of a Political Federation of the Partner States.

THE FUTURE OF EAC

I can see darkness ahead, on determining the future of EAC. viongozi wa EAC hawaaminiani na wanaonyeshana chuki sometimes waziwazi. wametugawa hata sisi wananchi. maybe hatukuwa tayari kuingia kwenye EAC. what about the role of rwanda on distabilising the friendship we historically enjoyed in triple way (Kenya, Uganda and TZ)??...mwenye
majibu atusaidie...!!!

NINI KIFANYIKE

(1) TZ imekuwa attacked kuwa ndo inakwamisha malengo ya EAC, ingawa si kweli. it is now high time to decide who to become our friend. tunaweza progress even without EAC. kuna nchi zimebaki kuwa waaminifu wa TZ iwe masika or kiangazi (summer) na ni muda mwafaka wa kuwarudia marafiki wetu wa kweli (nchi za kusini mwa Africa) kwa dhamila ya kweli na vitendo kwa manufaa ya vizazi vya leo na kesho.

OR

(2) nchi za Africa Mashariki, zikae pamoja na kuondoa tofauti zao na zi-implement makubariano ya kwenye Mkataba (EAC treaty) na kuweka vipaumbele kwenye maendeleo ili wafikie malengo ya umoja huo.

(3) Baadhi ya raia kwenye umoja huo waache nyodo (superiority complex) kwamba wao ndo best races or mara educated persons in entire EAC na blabla nyingine mingi.

Chukua Hatua

Political federation is out. Common market,monetary union like that of EEC is OK.Tufanye biashara siasa hatuwezi kwa ajili ya ubinafsi na tutaumizana bure.
 
4

hahahah...eti super power!!! Mkuu MOTOCHINI, you are very right. hakuna super power in EAC. wote ni wa kawaida tu. tunazidiana vitu vidogo vidogo tu. otherwise we're all under the same level. I bet TZ tungekuwa mbali sana kama tusingejiingiza kwenye vita ya ukombozi ya nchi za kusini mwa Africa. kuanzia south africa, namibia, Mozambique na sehemu nyingine kibao. lakini wenzetu walikuwa wametulia tu wanajenga uchumi wao. mwaka 1984 tuliwekewa vikwazo vya kiuchumi na hali ilikuwa mbaya sana hapa Bongo. but our fellows were busy on their economies. what if tungeamua kuwa wachoyo (selfish) tukakaa kwetu bila kumsaidia mtu, TUNGETISHA SANA....
Uko sawa kabisa! Pamoja na uzuri wa nyerere ktk mambo fulani lakini ile tabia yake ya kufanya mambo kwa hisia zake binafsi ndio zilizotugharimu hakuwa anafanya maamuzi kisayansi hasa ktk sera ya mambo ya nje. Hawa jamaa kenya kipindi kile sie tuko bize na vita vya msituni dhidi ya wakoloni kusini mwa Africa wao walikua bize wanajenga uchumi wao japo hata mwingereza alikuwa tayari ameupendelea uchumi wa kenya hata kabla ya uhuru, sasa hivi wamekuta wanatapatapa na alshabab wanataka kutuingiza kwenye protocol ya ulinzi EAC lakini tumeliona hilo tumeruka kihunzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom