mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 801
kenya hawajawahi rafiki wakudumu, RWANDA NDIO ITAKUWAJE
Waliogopa kuambukizwa TEZI DUME!!
kenya hawajawahi rafiki wakudumu, RWANDA NDIO ITAKUWAJE
Lol... haya sasa "kibao kata" umezowea kunizingua, sasa leo umekutana na sexer kutoka "Mondo, Misungwi" kebehi zako zilikuwa zinanikela Kweli ila leo... Tena kakualika kwao ila cha muhimu uwe na kibali cha kuishi mjini.
Wale ndugu zenu kule jungle DRC count down ishaanza, nawaonea huruma kweli au msanii mkuu kasha watengenezea plan B?
Unazungumzia ukabila! Unataka kutambika?!! Aisee kile kitu ulichokifanya miaka ya 90 ni sawa na kula nyama ya mtu, dhambi ya ubaguzi itazidi kuwatana milele na milele, ona sasa hapa ukifuatilia comment zangu ni kama naisifia kenya lakini wewe kwa sababu ya ile dhambi ya ubaguzi uliyofanya umeniita mtusi sababu ndo unaamini ndo adui yako, dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana.
Ndio hapo Wabongo huwa mnachemsha, mahusiano baina ya nchi haya mambo ya urafiki au uadui bali maslahi.
Tatizo lenu huwa mnafuata na kutegemea mambo ya hisia kana kwamba nchi ni binadamu fulani. Ingekua hivyo basi kwa vile Tanzania ilihusika katika upatikanaji wa uhuru Afrika Kusini, Watanzania hawangehusishwa katika mauaji yaliyofanyika wakati Waafrika kutoka nchi nyingine walikua wanafukuzwa Afrika Kusini. Lakini hata Wabongo walichinjwa pia soma hapa http://allafrica.com/stories/200805260438.html
Umesema kweli. Good analysis. Nilīshangaa kwenye sherehe ya uhuru Kwetu hakuja hata rais mmoja WA Jirani!
mkuu, mtu kapost hivi https://www.jamiiforums.com/interna...ndair-named-among-worlds-safest-airlines.html, ama hivi https://www.jamiiforums.com/interna...nayonawiri-kila-sekta-ikifuatwa-na-kenya.html sasa hapo mtu akipongeza kuna tatizo?! unazungumzia uzalendo gani? wa sitta kuongoza mkakati wa kupiga chini maoni yetu ya katiba mpya! watu tuliacha shughuli zetu kwenda kutoa maoni afu yeye kirahisi tu na wahuni wenzie wakapiga chini, anza kwanza kumwambia sitta awe mzalendo sawa.
Lol... haya sasa "kibao kata" umezowea kunizingua, sasa leo umekutana na sexer kutoka "Mondo, Misungwi" kebehi zako zilikuwa zinanikela Kweli ila leo... Tena kakualika kwao ila cha muhimu uwe na kibali cha kuishi mjini.
Wale ndugu zenu kule jungle DRC count down ishaanza, nawaonea huruma kweli au msanii mkuu kasha watengenezea plan B?
Hii ni international forum. nenda kwenye jukwaa la siasa ukaongee malalamiko yako. Nchi yako ni nchi yako tu. Ipiganie hata kama kuna mapungufu.
Sasa kwa akili zako changa uliambiwa maana ya "international forums" ni kuponda nchi za watu hata wakati zinasifiwa kimataifa. Umehangaika kuwachonganisha Wabongo lakini wamekugomea, rudi kwenu maana umeshindwa na kazi uliopewa.
Ahahahha mama, hata ufanye vipi huwezi kuwa mbongo. Hata ukijipendekeza vipi, hakuna mbongo hata mmoja ataku support. Wanaokusapot ni hao ndugu zako wazee wajenosaidi...... ehehehehe
Vipi mapozi ya kikenya dada utanionyesha lini?
Amekualika Mtanzania na kuamuru lazima uende na stakabadhi za kuonyesha unaruhusiwa kutamba Tanzania, aha! ukabaki kuingiza mkia katikati ya miguu. Chezea nchi ya watu wewe, hata ufanye nini siku zote utabaki kuwa mkimbizi hadi ufanye maamuzi magumu ya busara kurudi kwenu.
Hii ni international forum. nenda kwenye jukwaa la siasa ukaongee malalamiko yako. Nchi yako ni nchi yako tu. Ipiganie hata kama kuna mapungufu.
Mama mi napenda mapozi yako ya kikenya, Kwa bahati mbaya TZ hatuna hiyo ndude ya stakabadhi mama. huyo nina doubt na uraia wake. Sa utakuja lini bongo dadaangu? ntakulipia nauli.
Wakimbizi mainteharamwe kama wewe ndio hamna stakabadhi zozote, mnaishi kwa kujificha ile operation ya Wabongo inaitwa Kibunga, halafu wengi wenu vila.za hamjasoma, hivyo hamna manufaa yoyote kwa Wabongo zaidi ya kula ubwabwa wao na kufanya uchangudoa mjini. Hebu kalale maana kazi yako inakusubiri usiku.
Kwa akili yako nchi ndo inapiganiwagwa hivyo eti?!
Ahahah, mwamba nsukuma, ahahaha, wewe una stakabadhi ya uraia......LOL au ndo kitambulisho.....duu, hii kali.