Mambo si Shwari EAC-as Kenyan celebrates Jamhuri day

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,577
Reaction score
2,469
Ladies and gentleman, ilikuwa ni juzi tu, Tanzania celebrated her independence day (9 December 2014) as to mark the 53 years of its independence tangia tulipo mung'oa mkoloni baada ya kazi nzuri ya waasisi wa taifa hili kudai uhuru bila kumwaga damu (Army struggle and Bloodshed). ilikuwa siku Muhimu Kwetu. Lakini cha Kushangaza sijaona Rais yeyote within the EAC akija kushirikiana nasi to celebrate that important day in our history.

THE OTHER WAY AROUND

kENYA leo wame celebrate their 51 years of independence (Jamhuri Day) but sijaona Rais wala mwakilishi kutoka Burundi despite the fact that, BURUNDI is among the member states forming the EAC. TZ imemtuma MH. Samwel Sitta kumwakilisha MH. RAIS, ( Note: our president is recovering from sickness and that's excusable). kama kawaida coalition of the willing walikuwepo wote.

PRESIDENT KAGAME wondering to honourable Sitta as he was being introduced by Ruto

wakati Mheshimiwa Ruto anamtambulisha Mh. Sitta, kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania, President Kagame aligeuka fasta kumwangalia Sitta ambaye alikaa viti vya nyumba kutoka viti vya marais (Protocol). kulingana ninavyojua siasa hizi za Africa Mashariki, PK alivyogeuka kumcheki SITTA, kunaleta tofasiri tofauti......(based on my assumption)

EAC treaty

Article 23 of the East African community treaty provides for the Co-operation in political matters. for instance in the same article 23(3) (e)-(f) provides that; The objectives of the common foreign and security policies shall be to promote co-operation at international fora; and enhance the eventual establishment of a Political Federation of the Partner States.

THE FUTURE OF EAC

I can see darkness ahead, on determining the future of EAC. viongozi wa EAC hawaaminiani na wanaonyeshana chuki sometimes waziwazi. wametugawa hata sisi wananchi. maybe hatukuwa tayari kuingia kwenye EAC. what about the role of rwanda on distabilising the friendship we historically enjoyed in triple way (Kenya, Uganda and TZ)??...mwenye
majibu atusaidie...!!!

NINI KIFANYIKE

(1) TZ imekuwa attacked kuwa ndo inakwamisha malengo ya EAC, ingawa si kweli. it is now high time to decide who to become our friend. tunaweza progress even without EAC. kuna nchi zimebaki kuwa waaminifu wa TZ iwe masika or kiangazi (summer) na ni muda mwafaka wa kuwarudia marafiki wetu wa kweli (nchi za kusini mwa Africa) kwa dhamila ya kweli na vitendo kwa manufaa ya vizazi vya leo na kesho.

OR

(2) nchi za Africa Mashariki, zikae pamoja na kuondoa tofauti zao na zi-implement makubariano ya kwenye Mkataba (EAC treaty) na kuweka vipaumbele kwenye maendeleo ili wafikie malengo ya umoja huo.

(3) Baadhi ya raia kwenye umoja huo waache nyodo (superiority complex) kwamba wao ndo best races or mara educated persons in entire EAC na blabla nyingine mingi.

Chukua Hatua
 
Umesema kweli. Good analysis. Nilīshangaa kwenye sherehe ya uhuru Kwetu hakuja hata rais mmoja WA Jirani!
 
kwani nyie mmepeleka rais kwenye sherehe za uhuru wa kenya?
 
Kwenye miaka 50 Ya uhuru wa Tanzania bara mbona walikuwepo hata akina Museveni.Acheni hizo jamani kazi za maraisi sio kushinda kila mwaka kwenye sherehe za uhuru wa nchi husika! hata Kikwete alikwenda Uganda na Kenya kwenye sherehe zao za uhuru.Lakini si kuwa kila mwaka itakuwa kwenda ngomani kwenye sherehe zao!
 
Hapa tulitabiri siku nyingi Tanzania wrapped up in itself will make the most unpleasant bundle. Tunashuhudia consequences ya misguided foreign policy chini ya Membe.
 
Kwenye miaka 50 Ya uhuru wa Tanzania bara mbona walikuwepo hata akina Museveni.Acheni hizo jamani kazi za maraisi sio kushinda kila mwaka kwenye sherehe za uhuru wa nchi husika! hata Kikwete alikwenda Uganda na Kenya kwenye sherehe zao za uhuru.Lakini si kuwa kila mwaka itakuwa kwenda ngomani kwenye sherehe zao!
walikuja kibao hadi akina Zuma,in fact SADC na EAC members walialikwa,ila sifahamu Kama PK alifika.

Umesema kweli. Good analysis. Nilīshangaa kwenye sherehe ya uhuru Kwetu hakuja hata rais mmoja WA Jirani!
Sisi huwa tunaalika kwenye kila jubelee 15,20,40,45,50 years hii mingine huwa tunapiga wenyewe.

[/B]
kwani nyie mmepeleka rais kwenye sherehe za uhuru wa kenya?
Rais wetu anaumwa
 
walikuja kibao hadi akina Zuma,in fact SADC na EAC members walialikwa,ila sifahamu Kama PK alifika.

Sisi huwa tunaalika kwenye kila jubelee 15,20,40,45,50 years hii mingine huwa tunapiga wenyewe.

Rais wetu anaumwa
na makamu wake anaumwa?
 
mmesusaje wakati mmempeleka SIX, mzee wa kuchakachua katiba yetu?

Sitta EAC wanamjua.Ndiye anayesimama kidete kwenye suala la kutetea Tanzania maswala ya Ardhi,Ajira n.k Hukuona aliposimama kusalimia kulizizima.Sitta UKAWA nyie wenyewe hamna hamu naye.mlisusa na yakapita hivi mlijisikiaje? Si lazima mlisikia homa ya ghafla!!!!
 
Sherehe ya marekani sio sawa na ya canada, urusi, china wala ufaransa, kenya ndo super power wa East Africa kwa hiyo ni lazima nchi nyingine ziende pale.
 
Sherehe za uhuru zilishapitwa na wakati na pia zilishapoteza malengo.Kipindi kile kweli tulikuwa tunasherehekea uhuru wa ukweli maana mkoloni tupa kule lakini sasa mkoloni karudi tena kivingine bora hata enzi zile walitujengea reli na barabara sasa hivi wanakuja kuchuma tu na kuondoka zao, wapo wanachukua meno ya tembo, wapo wanaochukua wanyama hai, wapo wanaochukua madini na kutuachia mashimo yet you want us to celebrate uhuru kweli na zaidi unataka marais waje watusababishie foleni mjini zisizo na kichwa wala miguu.Tena mimi nashauri kwa sasa hivi kila wilaya iwe inaadhimisha kivyakevyake
 
Ladies and gentleman, ilikuwa ni juzi tu, Tanzania celebrated her independence day (9 December 2014) as to mark the 53 years of its independence tangia tulipo mung'oa mkoloni baada ya kazi nzuri ya waasisi wa taifa hili kudai uhuru bila kumwaga damu (Army struggle and Bloodshed). ilikuwa siku Muhimu Kwetu. Lakini cha Kushangaza sijaona Rais yeyote within the EAC akija kushirikiana nasi to celebrate that important day in our history.

THE OTHER WAY AROUND

kENYA leo wame celebrate their 51 years of independence (Jamhuri Day) but sijaona Rais wala mwakilishi kutoka Burundi despite the fact that, BURUNDI is among the member states forming the EAC. TZ imemtuma MH. Samwel Sitta kumwakilisha MH. RAIS, ( Note: our president is recovering from sickness and that's excusable). kama kawaida coalition of the willing walikuwepo wote.

PRESIDENT KAGAME wondering to honourable Sitta as he was being introduced by Ruto

wakati Mheshimiwa Ruto anamtambulisha Mh. Sitta, kama mwakilishi wa Rais wa Tanzania, President Kagame aligeuka fasta kumwangalia Sitta ambaye alikaa viti vya nyumba kutoka viti vya marais (Protocol). kulingana ninavyojua siasa hizi za Africa Mashariki, PK alivyogeuka kumcheki SITTA, kunaleta tofasiri tofauti......(based on my assumption)

EAC treaty

Article 23 of the East African community treaty provides for the Co-operation in political matters. for instance in the same article 23(3) (e)-(f) provides that; The objectives of the common foreign and security policies shall be to promote co-operation at international fora; and enhance the eventual establishment of a Political Federation of the Partner States.

THE FUTURE OF EAC

I can see darkness ahead, on determining the future of EAC. viongozi wa EAC hawaaminiani na wanaonyeshana chuki sometimes waziwazi. wametugawa hata sisi wananchi. maybe hatukuwa tayari kuingia kwenye EAC. what about the role of rwanda on distabilising the friendship we historically enjoyed in triple way (Kenya, Uganda and TZ)??...mwenye
majibu atusaidie...!!!

NINI KIFANYIKE

(1) TZ imekuwa attacked kuwa ndo inakwamisha malengo ya EAC, ingawa si kweli. it is now high time to decide who to become our friend. tunaweza progress even without EAC. kuna nchi zimebaki kuwa waaminifu wa TZ iwe masika or kiangazi (summer) na ni muda mwafaka wa kuwarudia marafiki wetu wa kweli (nchi za kusini mwa Africa) kwa dhamila ya kweli na vitendo kwa manufaa ya vizazi vya leo na kesho.

OR

(2) nchi za Africa Mashariki, zikae pamoja na kuondoa tofauti zao na zi-implement makubariano ya kwenye Mkataba (EAC treaty) na kuweka vipaumbele kwenye maendeleo ili wafikie malengo ya umoja huo.

(3) Baadhi ya raia kwenye umoja huo waache nyodo (superiority complex) kwamba wao ndo best races or mara educated persons in entire EAC na blabla nyingine mingi.

Chukua Hatua

Ninavyofahamu safari hii serikali haikuwaalika viongozi wa nchi nyingine. Sioni sababu ya ku hoja sababu ya viongozi kuelekea Kenya walipoalikwa.
 
"Ni wakati wa kuwarudia marafiki wetu wa kweli (nchi za kusini mwa Africa)"!!!
Hivi urafiki gani unaozungumzwa? As USA put it; "They have permanent interest BUT not enemy or friend".
Nakumbuka kipindi cha xenophobic attack kule South Africa, tulipiga kelele kuwa inawafukuza watu waliosaidia uongozi kupata uhuru. Walitucheka mpaka aliyekuwa Balozi aitwaye Mfenyana akasema kila enzi na mambo yake. Tuliwasaidia kwa kuwa tulijua hawapaswi kunyanyaswa na watu wachache na kuwa kwa wakati huu ni vizuri waliosaidia wakajua kuwa wa SA wanahitaji ajira ambazo zimechukuliwa nao. Hii ni kuonyesha jinsi interests zinavyotawala.
Tuangalie maslahi yetu na mengi yapo EAC.
 
Sitta EAC wanamjua.Ndiye anayesimama kidete kwenye suala la kutetea Tanzania maswala ya Ardhi,Ajira n.k Hukuona aliposimama kusalimia kulizizima.Sitta UKAWA nyie wenyewe hamna hamu naye.mlisusa na yakapita hivi mlijisikiaje? Si lazima mlisikia homa ya ghafla!!!!
ha ha ha ha! ndiyo maana wamemtengea kiti kwenye nyasi wakati wa kupiga picha ya pamoja?
 
Moja na tatu ndo sahih kwan wao wakina nani kwa tz? wajue yao nas yetu,tusisumbue vichwa kwa upuz wawatu wasie na faida kwetu mojakwa moja na ktk nchi ambayo sion umuhim kwa tz ni rwanda kwetu nikama mjusi kwa anaconda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom