Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,734
- 729,903
Media iwe makini kutumiwa vibaya kutimiza matakwa ya kipuuzi kabisa ya viongozi ambao wanafikri kupigwa picha sana ndio utendaji uliotukuka
Hawa wanaongoza kwa kutumia media
Makonda
Mwigulu
Kigwangala
Yule DC anayeonekana kwenye mitandao ya kijamii akifanya mambo mengi ya kawaida kabisa na mengine ya kipuuzi.
Kali kuliko yote ni taarifa ya habari ya saa nne leo kupitia TBC si kuzingatia eneo husika lakini ilikuwa ni huko mikoani kwenye operation ya kuwakamata wanywa pombe za kienyeji kampeni ya kuzuia kipindupindu.
Kwa mshangao wangu mkubwa ni kuona kundi kubwa la askari polisi na wanajeshi wakiwa na silaha za moto wakishiriki hilo zoezi.
Hivi kweli tumefikia hatua ya akili finyu kiasi hiki? Yani kutumia majeshi yetu na silaha kali kuwakamata wanywa mataputapu?
Kazi ya mgambo hii jamani...na kwa kiwango cha upuuzi uleule ikachukuliwa TBC kwenda kuripoti.
Nidhamu ya uoga na kutojitambua ni chanzo cha upumbavu wote huu unaofanywa na wasaidizi wa Magu.Wengi hawajiamini na wanapenda no kutumia coverage ya media.