Mambo saba nyuma ya vikwazo Marekani dhidi ya Tanzania

bigmukolo

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
597
2,225
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
 
Atakayetuondolea CCM na balaa lake kwetu tutamuona yuko sawa CCM ndio chanzo cha mikataba mibovu na sasa baada ya kuuona upinzani unakubalika na watanzania ndio wakaanza kujifanya wanabadilika wakati wanaimba "CCM ni ile ile" na kuthibitishwa na Kangi Lugola
Lugola anatembea na Ilani mchana usiku anapiga dili
 
sasa tujiulize sisi, je kuna demokrasia nchini? vyama vya upinzani vinafanya mikutano kama ilivyo kwa chama tawala? hakuna utekaji na mauaji kwa kile kinachotajwa kufanywa na wasiojulikana? Marekani ni kama kichocheo tu lakini yote waliyotuhumu ndiyo yanafanyika hapa kwetu. kwani tukiweka tu usawa kwa wote bila kujali tofauti zetu za kiitikadi huku tukiboresha uchumi wetu tutapungukiwa na nini? Tusinyanyase wengine kwa kisingizio cha kukuza uchumi. kwa sasa mwanaccm yeyote anatishia kuua watu wengine na hakuna hatua zozote anazochukuliwa tena wengine wakiwa ndani ya vyombo vyetu vya kutunga sharia. Wengi wamekamatwa na kuswekwa rumande kwa makosa yasiyo na dhamana huku kesi zikizidi kusogezwa mbele eti upelelezi haujakamilika. kwanini umkamate mtu ukiwa huna hata ushahidi? Maarekani walichosema sio kigeni maana tunakilalamikia kila siku. Kwa sasa nchi imegeuzwa kuwa miliki ya wanaccm wacha
 
Propaganda hizo ................!!
Huo ndio ukweli, Propaganda ziko CHADEMA na Kwa kina Zitto at al,
Nakukumbusha,
1.Unakumbuka mwaka ambao Marais 3 wa Marekani waligogangana Dar kwa Siku moja?
Unajua sababu? Wana umuhimu gani wa kujazana Kwenye kanchi kadogo kama haka kwa siku moja? Na haijawahi kutokea duniani kokote Marais watatu wa Marekani kukutana siku moja katika nchi moja zaidi ya South Africa kwenye msiba wa Mandela.
2.Wakati Obama anaingia madarakani unajua Rais wa Kwanza kukutana naye Afrika alitoka wapi?
3.Je JPM toka amechaguliwa amekutana mara ngapi na viongozi wa USA?Sembuse kusafiri?
 
Wadau,hakunaga urafiki kati ya tajiri na Masikini lakini pia ili uweze kujikwamua kutokana na mkandamizo ni lazima ugombane na aliyekukandamiza kwa sababu wakati wewe unaumia yeye anaskia raha.Sema shida ni moja.Serikali zetu za kiafrika hazijui/hazina upembuzi yakinifu juu ya connection dhidi ya viongozi na wanaoongozwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ndio ukweli, Propaganda ziko CHADEMA na Kwa kina Zitto at al,
Nakukumbusha,
1.Unakumbuka mwaka ambao Marais 3 wa Marekani waligogangana Dar kwa Siku moja?
Unajua sababu? Wana umuhimu gani wa kujazana Kwenye kanchi kadogo kama haka kwa siku moja? Na haijawahi kutokea duniani kokote Marais watatu wa Marekani kukutana siku moja katika nchi moja zaidi ya South Africa kwenye msiba wa Mandela.
2.Wakati Obama anaingia madarakani unajua Rais wa Kwanza kukutana naye Afrika alitoka wapi?
3.Je JPM toka amechaguliwa amekutana mara ngapi na viongozi wa USA?Sembuse kusafiri?
Toka hapa !
 
TAFAKURU: Isije ikawa hii ya huyu jamaa anaejiita "Mtume Bonifasi" huko aliofanya moshi (vifo vya watu 20) kua ni mwendelezo wa "SINEMA" za kutuhamisha raia kwenye mambo ya msingi yanayoendelea nchini.!!!!!!

Turudi kwenye mada ya UZI huu. . .

Kitendo cha nchi kama "SWEDEN" (Kibaraka wa marekani) kukata msaada kwa tanzania kwa 75% ndani ya miaka 5 ijayo (inaashiria wanapinga serikali ya jiwe), kwa mwenye akili ataelewa.

Kwanini miaka 5 ijayo???

Wanaangalia upepo kama sisi watanzania kama tutamchagua tena "JIWE" awe rais mwaka huu kwa mhula mwingine wa miaka 5 (au kama atatumia nguvu kuingia ikulu), kama atachaguliwa kua rais tena (kwa uchaguzi huru au nguvu) basi baada ya miaka mitano ijayo hawezi tena kugombea tena kikatiba (ndio warudishe misaada).

Na kama atatumia nguvu kurudi ikulu, basi hawa jamaa watatangaza vita au vikwazo "VIKALI ZAIDI" kwetu (pengine kama walivokutana navyo Zimbabwe).

NB

1) Na haya ya viongozi wa UVCCM (Mfano Iringa) kutangaza waziwazi kua Zitto auliwe au wangemuua kama angekuwepo Iringa, ndio wanazidi kumweka mwenyekiti wa CCM kwenye kikaango cha kimataifa. Marekani wanapata "JUSTIFICATION" kwamba chochote watakacho amua kuifanya Tanzania basi wana haki.

2) Upinzani wakiamua kuitisha "MAANDAMANO HURU" ya kudai "KATIBA MPYA" basi watapata support na wafadhili dunia nzima. Kama zitatumika nguvu kuzuia maandamano huru kutoka katika vyombo vya dola basi "MAREKANI" wanaweza wakafanya mapinduzi ya uongozi Tanzania.

Uchaguzi #2020 CCM hana ujanja, atachinjiwa baharini "UPINZANI FT MAREKANI REMIX". Na kilicho waharibia CCM ni "JEURI na KASHA" dhidi ya mataifa yanayotupa msaada.

#Leo tusubiri JIWE akiwa anawaapisha ikulu viongozi wa vyombo vya usalama kama kutakua na ile "TAFRIJA" kama kawaida yetu ya "KUWAPONDA MABEBERU".

Yajayo yanafurahisha.
 
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
Rubbish
 
Atakayetuondolea CCM na balaa lake kwetu tutamuona yuko sawa CCM ndio chanzo cha mikataba mibovu na sasa baada ya kuuona upinzani unakubalika na watanzania ndio wakaanza kujifanya wanabadilika wakati wanaimba "CCM ni ile ile" na kuthibitishwa na Kangi Lugola
Lugola anatembea na Ilani mchana usiku anapiga dili
Aliyetuletea ccm alitukosea sana
 
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
Utumbo mtupu.
 
Huo ndio ukweli, Propaganda ziko CHADEMA na Kwa kina Zitto at al,
Nakukumbusha,
1.Unakumbuka mwaka ambao Marais 3 wa Marekani waligogangana Dar kwa Siku moja?
Unajua sababu? Wana umuhimu gani wa kujazana Kwenye kanchi kadogo kama haka kwa siku moja? Na haijawahi kutokea duniani kokote Marais watatu wa Marekani kukutana siku moja katika nchi moja zaidi ya South Africa kwenye msiba wa Mandela.
2.Wakati Obama anaingia madarakani unajua Rais wa Kwanza kukutana naye Afrika alitoka wapi?
3.Je JPM toka amechaguliwa amekutana mara ngapi na viongozi wa USA?Sembuse kusafiri?
Lumumba akili zenu matopee sanaa..
Yani kwa akili zenu mnafikiri mmarekani anakiu ya hizo dhahabu sana kama vile hazipatikani kwingineko duniani.
Mmejawaa na akili za kishambaa na kijamaa kama huyo mwenyekiti wenu.
Dunia ya sasa is about technology thats how you get ahead,sio mambo eti madini na rasilimali hivyo vishapitwa na wakati..
 
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
#Nane, Tundu Lissu alipigwa risasi katika eneo ambalo lina CCTV camera na walinzi wa SUMA JKT - lakini mpaka leo polisi wamenyamaza kutuambia nani mhusika eti kwasababu wanamsubiri dereva wa TL ajisalimishe. Sijui ndo aling'oa zile CCTV na kuwaondoa walinzi? Sijui...

#Tisa, Mo alitekwa lakini alirejeshwa na kuachwa eneo ambalo ni karibu kabisa na TISS na ofisi nyingine 'nyeti' za Serikali. Cha ajabu mpaka Rais wetu alishangaa ukimya wa polisi juu ya aliyehusika. Tena namnukuu alisema hivi - “Jeshi la Polisi linatakiwa kuelewa kuwa Watanzania sio wajinga, kama suala la kutekwa kwa Mo Dewji linaacha maswali, tuliambiwa alitekwa na wazungu lakini lilipoisha haikueleweka, mwishoni aliyetekwa alionekana anakunywa chai na Mambosasa.” Sasa kama mpaka Rais wangu anashangaa, mimi ni nani nisishangae!!! Nashangaaa...

#Kumi, Kuna wengi 'wamepotea' lakini 'sirikali' ipo kimya na vyombo vyake vimenyamaza. Pengine ndo maana Roma ameghairi kwenda Zimbabwe - ameamua akimbilie huko huko kwao sasa, maana hamna namna 😁 😁 😁

Naipenda nchi yangu, lakini kwa haya yanayofanywa na sirikali... thanks but no thanks... acha tiba iwaingie. Taratibu tutaelewana tu.
 
Back
Top Bottom