Mambo saba nyuma ya vikwazo Marekani dhidi ya Tanzania

Watu wote wanaojifanya wanapinga ushoga huku hela za mashoga wanachukua, wanachokifanya ni wivu tu.

Wanataka Wao Ndio Wapigwe Machine.

Yaani Mwingine Apigwe Machine, Takataka Nyingine Hamlali Kwa Kuumia Saa 24/7.
 
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

,
Mnaweza kubwabwaja yote lakini mkitaka kunishawishi wakamateni
- waliomtesa BEN saanane na kumpoteza
- Waliompiga Tundu lissu Risasi
- Waliochanachana kwa mashoka Alfonce Mawazo
- Waliompoteza Azory Gwanda
- Waliompoteza Kanguye
- Waliomuuana Diwani wa Hananasif
- waliokuwa wanaua na kuzamisha watu baharini
- watekaji ambao hata kwenye uxi huu watanifuta
Narudia tena atakayenifumbulia hivyo vitendawili na vingine huyo nitaungana naye. Marekani wameniambia wana ushahidi tuwaunge mkono!! Kama hutaki wewe ndiye muuaji wa hao ndugu!! Period!
 
Wamerecan akili kubwa mtu akiwaudhi huwa hawana papara ya adhabu huangalia kwanza saport ipi mtu ataipata baada adhabu yao ikilenga jambo la adhabu yenyewe,
Makonda aliwaudhi sana wamarekani na baadhi ya nchi za ulaya hasa kutangaza vita ya mashoga na kutamka wasakwe hili liliwakera sana na walishindwa onyesha haya mambo haraka maana kwa mila za kitanzania hili jambo wengi hawalikubali na wangechukulia hasira haraka na kuitangaza hii sababu ya mashoga huyu angesapotiwa na watanzania wengi..na kupata wafuasi sana,ndo akili yaliyoitumia kwa hizo sababu ambazo wao imewasaida kupata saport kwa baadhi ya watu wasiojua akili ya zao..mengine ni danadana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!

Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;

#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.

# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.

#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.

#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.

#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)

#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.

#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
Acha kupotosha wewe, mikataba ipi hiyo iliyofumuliwa?? Kama sheria tu za madini mlizozibadirisha 2017,leo tayari mabeberu, wamezikataa, mmeshazipereka bungeni, kuomba zibadirishwe, zirudi vile vile!!! Mfano, baada ya makinikia, sheria itungwa kuwa ni marufuku kusafirishwa nje, leo tayari, inarudishwa ile, inayoruhusu, yaende!! Pili, mlitunga sheria kuwa pakitokea mgogoro baina ya mwekezaji na serikali, utasuruhishwa na mahakama za ndani tu, leo (miaka 2)tu,tayari mmeufyata mabeberu wamegoma, amendment tayari zinafanyika, ili msuruhishi awe ni huko nje!!!, zile trilioni 420,zilishalipwa?
 
Back
Top Bottom