Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaani kwa Akili ulizonazo unafikiri Marekani ana shida na Demokrasia yako?Lumumba akili zenu matopee sanaa..
Yani kwa akili zenu mnafikiri mmarekani anakiu ya hizo dhahabu sana kama vile hazipatikani kwingineko duniani.
Mmejawaa na akili za kishambaa na kijamaa kama huyo mwenyekiti wenu.
Dunia ya sasa is about technology thats how you get ahead,sio mambo eti madini na rasilimali hivyo vishapitwa na wakati..
Nakubariana na wewe bro pia marekani wana mkataba na Tanzania kuhusu madini ya uranium ule aliokuja kuusaini Obama nahisi JPM hu mkataba ameutimuaMarekani kupitia Waziri wake mambo ya nje Bw. Pompeo imetangaza rasmi vikwazo dhidi ya Tanzania , uamuzi ambao umeungwa mkono na Bunge la Senate la Marekani na kueleza kuwa huu uwe mwanzo tu kuhakikisha demokrasia na haki za binadamu ikiwemo kulinda haki za makundi maalumu ( hasa mashoga) zinaheshimiwa!
Tamko hili limezua taharuki kubwa na kuleta tafsiri mbalimbali huku wengi wakihusisha maamuzi haya ya Marekani na utetezi wa haki za binadamu. Labda nikwasababu naomba nami niseme mambo matano (5) nyuma ya pazia la mgogoro huu;
#.Kwanza; Marekani haijawahi kupigania demokrasia wala haki za binadamu bali maslahi yake. Ndio sababu huwezi kuiona Rwanda wala Uganda kwenye vikwazo. Ndio sababu marekani analalamikia Irani yenye mfumo wa vyama vingi kuwa hakuna demokrasiea lakin humsikii kuhusu Saudi Arabia inayongozwa kwa mkono wa kifalme.
# Pili, Marekani inasumbuliwa na uamuzi wa CCM mpya chini ya JPM kuamua kufumua mikataba ya madini, gesi na nishati. Mfano ni mkataba wa kufua umeme Symbion (ulioasisiwa na Richmond & Dowans) ambao ulikuwa mkataba wa wizi kuliko IPTL.
#Tatu, niwakumbushe kwamba wakati sote tulijua ufisadi wa mkataba wa Richmond/ Dowans, nimitambo hiyo ambayo baadae kampuni ya Marekani Symbion iliuziwa na kuingia mkataba wa kifisadi zaidi hata ya Richmond/ Dowans & IPTL. Siku ya kusaini mkataba huu wa hovyo, Balozi wa Marekani alituma salamu za kupongeza.
#Nne, Katika kile kinachothibitisha Serikali ya Marekani ipo kupora zaidi, aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton alitembelea mitambo hiyo anayohusishwa nayo kuibariki zaidi. Na zaidi Obama alipokuja Afrika, alitumia mitambo hiyo yenye historia chafu ya ufisadi kuzindua mpango mkubwa wa Marekani uliojulikana kama Power Africa.
#Tano, Niwazi kwamba uamuzi wa JPM kufumua na kusuka upya mikataba umeumiza pakubwa vigogo waliokua sehemu ya wanufaika wa mfumo wa serikali ulioruhusu upofaji kwa makampuni hayo kupora na kuwapoza kwa makombo..hivyo viongozi hao wa Serikali walionufaika ambao sasa ni wahanga wameungana na Serikali ya Marekani ama waziwazi au kwa siri ( marriage of convinience)
#Sita, dunia inajua kwamba Bank ya dunia ni ya Marekani, ipo kwa maslahi ya Marekani. IMF ni mali ya Ulaya kwa maslahi yao. Hivyo uamuzi wa Bank ya dunia na IMF kuanza mahusiano mabovu msingi wake ni ulele kwamba kampuni zao hazipati tena zilichopata kabla ya JPM.
#Saba, Nirudie kusisitiza kwamba Marekani haina kiu na serikali ya kidemokrasia popote ina kiu ya kuturudisha kwenye serikali iliyosheheni uporaji kwa kisingizio cha democracy na haki za binadamu.Marekani haiwezi kuridhika na mapitio ya mikataba ya madini Barrick iliyolazimisha fomula ya kugawana faida 50/50.walikubali shinto upande wakiwa na Plan-B, ambayo ndio haya tunayoshuhudia! Uamuzi ni wetu watanzania. Kusimama na Marekani au Taifa lako.
Statements za US zipo straight forward halafu wewe unatupeleka nyuma ya pazia.Huo ndio ukweli, Propaganda ziko CHADEMA na Kwa kina Zitto at al,
Nakukumbusha,
1.Unakumbuka mwaka ambao Marais 3 wa Marekani waligogangana Dar kwa Siku moja?
Unajua sababu? Wana umuhimu gani wa kujazana Kwenye kanchi kadogo kama haka kwa siku moja? Na haijawahi kutokea duniani kokote Marais watatu wa Marekani kukutana siku moja katika nchi moja zaidi ya South Africa kwenye msiba wa Mandela.
2.Wakati Obama anaingia madarakani unajua Rais wa Kwanza kukutana naye Afrika alitoka wapi?
3.Je JPM toka amechaguliwa amekutana mara ngapi na viongozi wa USA?Sembuse kusafiri?
Umeongea point, ulimwengu unasonga mbele. Kwa maendeleo ya tecnhologia, miaka michache ijayo hata hiyo gesi iliyoko ardhini haitakuwa na thamani. Kama tumeshindwa sasa kuwapata wawekezaji, tumepoteza nafasi muhimu ya kutumia hiyo rasilimali kutuondoa ktk lindi la umaskini.Lumumba akili zenu matopee sanaa..
Yani kwa akili zenu mnafikiri mmarekani anakiu ya hizo dhahabu sana kama vile hazipatikani kwingineko duniani.
Mmejawaa na akili za kishambaa na kijamaa kama huyo mwenyekiti wenu.
Dunia ya sasa is about technology thats how you get ahead,sio mambo eti madini na rasilimali hivyo vishapitwa na wakati..
hivi hao waliosema zitto auwawe, hawajakamatwa mpaka sasa kwa kosa la kuhamasisha mauaji?Kitendo cha nchi kama "SWEDEN" (Kibaraka wa marekani) kukata msaada kwa tanzania kwa 75% ndani ya miaka 5 ijayo (inaashiria wanapinga serikali ya jiwe), kwa mwenye akili ataelewa.
Kwanini miaka 5 ijayo???
Wanaangalia upepo kama sisi watanzania kama tutamchagua tena "JIWE" awe rais mwaka huu kwa mhula mwingine wa miaka 5 (au kama atatumia nguvu kuingia ikulu), kama atachaguliwa kua rais tena (kwa uchaguzi huru au nguvu) basi baada ya miaka mitano ijayo hawezi tena kugombea tena kikatiba (ndio warudishe misaada).
Na kama atatumia nguvu kurudi ikulu, basi hawa jamaa watatangaza vita au vikwazo "VIKALI ZAIDI" kwetu (pengine kama walivokutana navyo Zimbabwe).
NB
1) Na haya ya viongozi wa UVCCM (Mfano Iringa) kutangaza waziwazi kua Zitto wauliwe au wangemuua kama angekuwepo Iringa, ndio wanazidi kumweka mwenyekiti wa CCM kwenye kikaango cha kimataifa. Marekani wanapata "JUSTIFICATION" kwamba chochote watakacho amua kuifanya Tanzania basi wana haki.
2) Upinzani wakiamua kuitisha "MAANDAMANO HURU" ya kudai "KATIBA MPYA" basi watapata support na wafadhili dunia nzima. Kama zitatumika nguvu kuzuia maandamano huru kutoka katika vyombo vya dola basi "MAREKANI" wanaweza wakafanya mapinduzi ya uongozi Tanzania.
Uchaguzi #2020 CCM hana ujanja, atachinjiwa baharini "UPINZANI FT MAREKANI REMIX".
#Leo tusubiri JIWE akiwa anawaapisha ikulu viongozi wa vyombo vya usalama kama kutakua na ile "TAFRIJA" kama kawaida yetu ya "KUWAPONDA MABEBERU".
Yajayo yanafurahisha.
Hivi kumbe marekani inamarais watatuHuo ndio ukweli, Propaganda ziko CHADEMA na Kwa kina Zitto at al,
Nakukumbusha,
1.Unakumbuka mwaka ambao Marais 3 wa Marekani waligogangana Dar kwa Siku moja?
Unajua sababu? Wana umuhimu gani wa kujazana Kwenye kanchi kadogo kama haka kwa siku moja? Na haijawahi kutokea duniani kokote Marais watatu wa Marekani kukutana siku moja katika nchi moja zaidi ya South Africa kwenye msiba wa Mandela.
2.Wakati Obama anaingia madarakani unajua Rais wa Kwanza kukutana naye Afrika alitoka wapi?
3.Je JPM toka amechaguliwa amekutana mara ngapi na viongozi wa USA?Sembuse kusafiri?
Mkuu
Ni wapumbavu, hawajasoma "PROPORSAL" ya kuombea mkopo ule wa USD MILL 500, wanakurupuka kumlaumu zitto tu. Nchi hii wabunge wengi ni kama ma ng'ombe, yanafata mkumbo.hivi hao waliosema zitto auwawe, hawajakamatwa mpaka sasa kwa kosa la kuhamasisha mauaji?
Marekani walivamia Iraqi kwa madai hamna demokrasia hadi Leo Iraqi wanajuta
Akaja Libya pia akavamia kwa madai kuwa hakuna demokrasia hadi Leo hi Libya wanajuta
Na sasa Tanzania ila tunajua Iraqi na Libya lengo lake lilikuwa kuiba mafuta sasa hapa Tanzania anataka nini
Lakini pia Marekani hawawezi kuvamia nchi bila ya kuandaa vibaraka wao kwanza na Mara nyingi huwa ni wapinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kaondoka? Ile Ni kotapini babaPamoja na kwamba utapigwa mawe, huu ni ukweli mtupu ingawa Makonda anatakiwa aondoke
Sijajua hata picha hamuoniPropaganda hizo ................!!