CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 645
- 1,549
Mambo yakiwa bado ni mengi katika jamuhuri ya watu wa giningi, gafla kunatokea tukio ambalo linaleta maneno na hisia nyingi kwa wanagingi
Wengine wanasema jamaa alikua anajiandaa kuja na bonge la movie 🍿 ambalo lingetikisa tasinia ya movie industry katika jamuhuri ya watu wa Giningi.
Inasemekana jamaa alijipanga kuzipiku movie zinazofanya vizuri kwa sasa katika nchi ya Giningi, na ukizingatia kwa sasa kuna movie zinafaya tu vizuri sokoni kama movie ya yule askofu mfufua misukule, kuna movie ya yule aliyekua MP wa taifa na kwa sasa kuna lile movie la yule wa slow slow kama kinyonga.
Wengine wanasema jamaa alikua na stress mingi baada ya wanagingi kumnanga hadharani.
Wengine wanasema ati, alikua ameamua kwa sababu walimwaga mboga yeye akataka kumwaga ugali, alitaka kukimbilia upande wa maadui wa Bibi Kilembwe ndio ikabidi wamuwai ili mambo yasiwe mengi.
Wanagingi wanaongea mengi lakini akuna aliyeweza kuzifungua code.
TUKUMBUKE KILA NAFSI ITAONJA MAUTI