Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........


huu mtama unaitwa "big result now"
 
ZITTO NAJUA KABISA moyoni anajua kina mtela wanamuokotea wahunibkuonyesha wanamsapoti, sasa yeye inamsaidia nini !? Maana sijui anamdanganya nani !?
 
ZITTO NAJUA KABISA moyoni anajua kina mtela wanamuokotea wahunibkuonyesha wanamsapoti, sasa yeye inamsaidia nini !? Maana sijui anamdanganya nani !?

kama hujui ni bora kuwa kimya, subiri wamalizane na kuua chama ndipo utajua nani alikuwa mpuuzi
 

acha uongo hapa tulikuwa tunarekodi movie yetu mpya inaitwa yolanda.
unafikiri kudanganya watu unapata faida gani?
 
Mkuu Kabanga, mitama kama hii ni kufaidi?
eh! wengine tunapenda kupigana sasa huku hakuna mambo hayo, ndio maana nyie wa mjini mnafaidi kupigana na virungu mabomu ya machozi, wenyewe kimya kwenye magari ya tinted makubwa makubwa.....
 
Najaribu kufikiria mzozo wa hao waliokatana mtama kabla ya tukio sijui ulikuwaje....Anatoka CDM mwaka huu....Nasema hivi..hatokiii...watatoka woote watamwacha...Anatoka....hatoki.....kutahamaki, chini....ulimi ushalamba mchanga...

Ila watu wengine kweli sijui wanajitoa ufahamu, laiti huyo aliyembwaga mwenzie chini angekuwa amemkata mtama aliyeongeza bei ya umeme na gesi....angekuwa shujaa wangu wa 2014...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…