kampelewele
JF-Expert Member
- Oct 13, 2014
- 2,998
- 2,414
WA ndoaUzoefu gan?
WA ndoaUzoefu gan?
Ah ah ah ah ah kawaida tu.WA ndoa
Ah ah ah ah ah kawaida tu.
Niliomba kujua Kama unauzoefu WA kuwa katika ndoa. Miaka si hoja bali uzoefu WA machungu Na utamu WA ndoa. Katika machungu lazima fumanizi liwemo. Kwa mantiki hiyo ukiwa na qualification hizo unaweza kutoa ushauri wenye welediAh ah ah ah ah kawaida tu.
Sina uzoefu mwaya.Niliomba kujua Kama unauzoefu WA kuwa katika ndoa. Miaka si hoja bali uzoefu WA machungu Na utamu WA ndoa. Katika machungu lazima fumanizi liwemo. Kwa mantiki hiyo ukiwa na qualification hizo unaweza kutoa ushauri wenye weledi