Mambo muhimu kabla ya kuingia kwenye ndoa

DaveSave

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
440
637
1.Sherehe ya harusi ni ya siku moja tu, na ndoa ni ya maisha yote.

2.Mwanamume/mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya ndoa.

3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4.Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
a) Walevi.
b) Malaya.
c) Wagomvi.

8. Kuolewa na mchekeshaji hakutakufanya uwe na ndoa yenye furaha.

9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
a) Nakupenda.
b) Samahani.
c) Asante.

10. Kupiga punyeto ni kujiharibu.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama anga bila jua.

12. Mafanikio ya ndoa siku zote ni pembetatu:
Mungu mmoja - Mume mmoja - Mke mmoja.

13. Furaha ya kudumu maisha hutegemea na chaguo lako la ndoa.

14. Usioe pesa au mali - muoe mtu.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko ndoa isiyo na amani na furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa kigezo tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema.

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke ndoa mbaya kabla haijaanza.

Mawazo yangu kwenu
 
21. Usiolewe/ usioe kwa kigezo cha mimba au mtoto. ( yan nawachukia watu wanaofanya hili kosa; y kujiumiza moyo kisa mimba; y kuudanganya moyo wako kuwa unampenda kisa mtu ana mimba au una mimba. Mwisho wa siku utachepuka tu. Kuliko kutenda uzinifu katk ndoa ni bora umuache mtu akiwa free; huyo mtoto ni zawad tosha kuliko kujifunga ktk maisha. Tunamdanganya had Mungu ktk madhabahu cku ya ndoa . i hateeeee it
 
Uzoefu?
 
1.Sherehe ya harusi ni ya siku moja tu, na ndoa ni ya maisha yote.

2.Mwanamume/mwanamke aliyezoea kuchepuka kabla ya ndoa, ataendelea kuchepuka hata baada ya ndoa.

3.Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema.

4.Ukikitaka ambacho hakijawahi milikiwa na mtu yeyote, ni lazima ufanye jambo ambalo halijawahi fanywa na mtu yeyote.

5. Mungu akitaka kukubariki hukuletea mtu, na Shetani akitaka kukuangamiza hukuletea mtu.

6. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa ama kuolewa na mtu asiye sahihi.

7. Aina tatu za wanaume wakuepukwa:
a) Walevi.
b) Malaya.
c) Wagomvi.
8. Kuolewa na mchekeshaji hakutakufanya uwe na ndoa yenye furaha.
9. Maneno matatu yanayojenga amani katika Ndoa:
a) Nakupenda.
b) Samahani.
c) Asante.

10. Kupiga punyeto ni kujiharibu.

11. Kuoana kabla ya kuwa marafiki ni kama anga bila jua.

12. Mafanikio ya ndoa siku zote ni pembetatu:
Mungu mmoja - Mume mmoja - Mke mmoja.

13. Furaha ya kudumu maisha hutegemea na chaguo lako la ndoa.

14. Usioe pesa au mali - muoe mtu.

15. Uchumba uliovunjika ni bora zaidi kuliko ndoa isiyo na amani na furaha.

16. Usiweke kipaumbele chako kwa muonekano mzuri wa mwanamke. Hakuna mwanamke mbaya, bali anahitaji kupendezeshwa.

17. Mapenzi si upofu. Upofu ni kuoa ama kuolewa na mwanamume/mwanamke kwa kigezo tu anakidhi haja zako kingono.

18. Ukiwa rafiki mwema, utawavutia marafiki wema.

19. Asili ya mikono inayojali ni moyo unaojali.

20. Iepuke ndoa mbaya kabla haijaanza.

Mawazo yangu kwenu
Kwa kuongezea.....
Mfahamu mwezi wako akiwa na hasira ....
PIA akiwa na njaaa..........
na mwisho akiwa mgonjwa & Vice versa....kabla ya ndoa....
 
13
15 Zimenifikisha kileleni!
Yaani umeniacha kwenye mataa,halafu uje unilaumu ooh huy Karanja ananiudhi sanaaa yaani kazidi KUNISHOBOKEAAA,basi hayaa mi yangu macho sasa sitii neno teeenaaa,mwisho nionekane kama plaster.
 
Teh! tatizo lako maneno mengi mkuu vitendo 0 mie nangoja nauli
 
Love seems the swiftest but it is the slowest of all growths. No man or woman really knows what perfect love is until they have been married a quarter of a century.
 
Back
Top Bottom