Ila Sidhani kama Sudan kusini kuna spicie nyeupe kama huyu nduguHiyo picha ya pili...nilishaiona sehemu, na zilikua nyingi na maelezo yake....Hao ni watu wa Sudani ya kusini..na huwa wanakua na mashindano ya kunenepa kwa wanaume..Wanajirokeza washindani..wanawekwa sehemu kwa muda ...wanakua wanakula maziwa,damu nyama etc.....lengo ni wanenepe..wawe vitambi etc..then baada ya hapo mshindi anachaguliwa