Mambo mazuri hayana mwisho

Mambo mazuri hayana mwisho

Unaweza kudhani ukionacho kina mapungufu kumbe mapungufu yapo ndani yako ingawa yamkini hujayabaini wala kuyaona.Hata hivyo dunia ni kama jalala mtu yupo huru kuokota kimfaacho.
 
Uwa na kuelewa Sana Ila leo umefail biblia aisomwi kwa utafiti na ukitaka kuichunguza unaingia chaka ile inasomwa kwa msaada wa roho mtakatifu .
 
Shida ni reference. Mm mtu akianza na kauli biblia inasema.... Quran inasema.... Huyu namchukulia kama mpumbavu na asiyeweza kufikiri. Hakuna dini sahihi wala hakuna ukweli kwenye dini.
Binafsi nimuamini wa dini za asili (Kutambika) sisi hatuna hayo makolokolo yenu.
 
Uwa na kuelewa Sana Ila leo umefail biblia aisomwi kwa utafiti na ukitaka kuichunguza unaingia chaka ile inasomwa kwa msaada wa roho mtakatifu .
Kweli aliyewaletea hivo vitabu alimaliza ubongo wenu wote. So bwana Gwajiboy anaroho mtakatifu, vipi kuhusu mch mashimo...
 
Kweli aliyewaletea hivo vitabu alimaliza ubongo wenu wote. So bwana Gwajiboy anaroho mtakatifu, vipi kuhusu mch mashimo...
Uwezi kujua maana wew ibilisi sasa kwa akili yako unafikiri roho mtakatifu nini n? Km kuna mapepo na majini ya shetana yanakaa kwa watu wa shetani km waganga nk,ujue na watu wa Mungu wana roho wa Mungu
 
Shida ni reference. Mm mtu akianza na kauli biblia inasema.... Quran inasema.... Huyu namchukulia kama mpumbavu na asiyeweza kufikiri. Hakuna dini sahihi wala hakuna ukweli kwenye dini.
Binafsi nimuamini wa dini za asili (Kutambika) sisi hatuna hayo makolokolo yenu.
Ningeona hii post mapema ata nisinge kujibu kumbe wew ni wa motoni umeshakata tickets safir salama.
 
Popcorn please. ... Hapa lazima itaibuka vita ya maneno tu
 
Ningeona hii post mapema ata nisinge kujibu kumbe wew ni wa motoni umeshakata tickets safir salama.
Kati ya project zilizofanikiwa kuwa pumbaza watu ni hii. Eti usipoamini YESU au Mohamed wewe ni wa motoni. Kwa hyo ni nyinyi tu mko sawa. Kumbukeni hata wanaoamini Ng'ombe, wabudha, wayahudi wenyewe wanawaoneni nyie mliokengeuka na watu msiojua kufikiri
 
Kwanin tubishane na siku zinahesabika project?
 
Pole ndugu,hakika usichokijua ni saw na usiku wa giza. Biblia haisomwi kama vitabu vya hadithi bali ni kwa uongozi wa Roho Mtakatifu. Hapo ndipo ulipokosea. Waswahili wanasema uangalie ulipojikwaa sio ulipoangikia. Hebu soma
Yohana:14.25
"Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu.
Yohana:14.26
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia"
Kama kweli wewe ni Mkristo zingatia maneno hapo juu utapata Masada wa kweli.
 
Kaa na dini yako uliyoridhika kusema madhaifu ya dini isiyokuhusu hakukufanyi uwe muislam bora zaidi utaonekana mjinga tu
Kuna wanatheolojia wakija APA muende vifungu kwa vifungu utaonekana muhuni tu uliyesoma biblia kama gazeti

In short hujui kuhusu Biblia MTU nayeifahamu Biblia ana maarifa sana hawezi kuandika ujinga kama huuu
Kusoma na kuelewa biblia ni kwa uongozi wa roho Mtakatifu. Naona umeamua kujifurahisha kwa kujitekenya na kucheka mwenyewe. Soma Yohana:14.25
Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu.
Yohana:14.26
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atampeleka kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
 
kwanini ni rukhsa kuona wake wanne,lakini si rhuksa kuolewa na waume wanne???
Wakati wa Ujahiliyyah kulikuwa na ndoa aina nne:

1. Kama ilivyo wakati huu wetu wa sasa (yaani wakati wao na mpaka sasa kwa mwanamume kwenda kumposa binti kwa wazazi wake).

2. Mume kwa kutaka apate mtoto mwenye sifa fulani alikuwa akizungumza na mwanamume mwenye sifa hizo ili awe analala na mkewe. Katikahali hiyo alikuwa mume mwenyewe akitoka kwenye hiyo nyumba mpaka mkewe apate mimba. Akishika mimba alikuwa anarudi nyumbani, akitaka alikuwa akimuingilia au akimngojea mpaka azae.

3. Mwanamke alikuwa anaolewa na wanaume wengi na pindi anapozaa alikuwa akiwaita wanaume wote. Mjuzi wa kulinganisha sura alikuwa akiitwa na atakaye chaguliwa alikuwa akichukua jukumu la kumlea mtoto huyo.

Madanguro ambamo wanawake walikuwa wakiuza miili yao na juu ya nyumba hizo kulikuwa na bendera yenye kuashiria hilo. Mtu yeyote alikuwa na uhuru wa kuingia na kukidhi haja zake.

Alipokuja Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) aina zote za mahusiano baina ya mume na mke zilikatazwa ila ile ya mume mmoja kuoa wake hadi wanne (Al-Bukhaariy).

Hata kwenye Ukristo utakuta Kwenye Agano la kale ruhusa hiyo itakuwepo bila ya matatizo yoyote.

Manabii watukufu wengi walikuwa na zaidi ya mke mmoja kwa mfano Abrahamu alikuwa na watatu, Daudi mia moja, Suleiman mia saba na wengineo

Ni yakini kuwa Yesu wa Biblia alisema hakuja kubatilisha wala kufuta kanuni za Taurati bali kutimiza. Na juu ya yote hayo hakuna hata msitari mmoja katika Agano Jipya unaokataza uke wenza.

Ruhusa hii ya kuoa zaidi ya mke mmoja ilipigwa marufuku na kikao cha Marabai cha Worms katika karne ya 11. Katazo hili mwanzo lilitolewa kwa Mayahudi waliokuwa wakiishi Ujerumani na Kaskazini mwa Ufaransa lakini baadae ikawa ni kwa wafuasi wote.
Pia hili swala limejibiwa kwa kirefu hapa:-
 
Back
Top Bottom