Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?


Kwani dk slaa anapotaka urais ni kwa ajili yako ? Au mtu anapotaka udiwani, ubunge , ukurugenzi wa shirika au cheo chengine chochote ni kwa ajili ya nani? Ndio maana kuna interview, mtu anapewa fursa ya kujinadi ili muone kama mkimpa huo wadhifa wakati yeye anapofaidi matunda ya wadhifa huo atawasaidia vipi nyie mnaomuweka hapo? Ambaye atajinadi vizuri basi mnampa wadhifa. Sasa nimbie Sitta na Mwakyembe walipo sema Dowans wasilpwe walikua wanafaidi nini? Wewe kama mwananchi unapoteza au kufaidika vipi na huo msimamo wake?
 
- The dataz is: Ilikuwa either mabadiliko au six and the gang to Opposition!...ha! ha! ha! ha! ha! six won! ha! ha! ha!....ooooooh! six the man unapoweza kumtukana mkulu na akakupa uwaziri anyways! ha! ha! ha!

......stay ....tuned...!


Field Marshall Es!
 

Umekunywa nini? Leta data zaidi!
 

Msipotoshe watu JK hakufukuza mtu bali wamejiuzulu!!!!

soma hapa: Fresh start for CCM as CC, secretariat resigns
 
Ni kwa manufaa ya taifa, kwani tuache ushabiki, chama kinachotoa muelekeo kwa sasa ni CCM, kwa hiyo kinahitajika kiwe imara katika kutekeleza sera za maendeleo katika nchi, kwani hata kama tukichukia CCM kwa sasa kutokana na mabadiliko haisaidii kwani uchaguzi ni 2015, kwa hiyo wapinzani wajipange, ila panapohitaji kuisaidia serikali ya CCM katika kuleta maendeleo vyama vyote vishiriki, wanapokosea CCM wapinzani wavune mtaji wa 2015!
 

Six must be the happiest man ever!!!! i always say JK knows exactly what he is doing nyinyi ndio mnaona nchi haitawaliki??
 

Mkuu CC ni kichwa katika uongozi wachama,maamuzi makubwa na magumu hufanywa pale.kwa hiyo definetly kwa kuwa CCM ipo madarakani ikituutawala(sio kutuongoza)
basi ni big news
 
Heshima kwenu wanajamvi,nimefarijika sana baada ya kuanza kupata data kutoka Sauti ya Umeme Field Marshall ES p'se endelea kutujuza.
 
Msipotoshe watu JK hakufukuza mtu bali wamejiuzulu!!!!

soma hapa: Fresh start for CCM as CC, secretariat resigns

Wewe ndio unapotosha watu kwa kuwa unaamini kwenye propaganda na kiswahili chenu cha kizushi, Tumia akili kama mtu mzima, wamejiudhuru au wameamriashwa wajiudhuru ili kunusuru chama?. Unaka kutuambia wamehiari kufanya hicho kitendo cha kujiudhuru?. Nyie ndio mnaendelea kupotosha watu hata kusema Lowassa ni waziri mkuu msitaafu. Hivyo viswahili vya kisanii pelekeni majukwaani huko mnawadanganya na kuwapotosha watanzania, kwenye hili jukwaa la electronic hatuihitaji upuuzi wote tunajua kilichotokea Dodoma jana.
 
Habari kutoka Dom zinasema kwamba JK kavunja Katiba ya CCM -- yaani hana madaraka/mamlaka ya kuivunja kamati Kuu na Sekretariat -- kwa maana Katiba ya chama iko kimya (silent) kuhusu suala hilo.

Pia kuna tetesi kwamba wale ambao JK alikuwa anadhamiria kuwatosa sasa wanapanga mikakati ya kuliibua suala hilo kuonyesha JK alikosea na wataalamu wa sheria katika chama hicho wanajaribu kufafanua mambo, lakini hali ni tete sana.

Hata hivyo wenye kuwa na uelewa kamili kuhusu suala hilo tunaomba atufafanulie.

Inavyoelekea chama hichi kimejiwekea misingi ya kutokufa!
 
sitaki hata kuiona hiyo katiba ya kijani ... it is a crucifixion document
 

Your signature is one big lie
 
yaani hali ikishafikia hapo maana yake ni kuwa mwenyekiti anakumbana na upinzani mkali sana ndani ya chama chake na njia pekee ni kujiuzuru..hivi kwa nini anang'ang'ana na mamabo haya huyu ******..si aache tu wengine wawe wenyekiti....
 
Habari za kiintelijensia kutoka dodoma zinasema lowasa katoswa rasmi nec,.na wnegine wanafuatia,.hii nyeti nimeipata kutoka kwa ccm member aliyomo ndani ya hichi kikao cha wanga
 
Wabongo nao... kila jema lifanywalo mnatafuta upande wa pili, likifanyika baya manasema, heeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…