- Wakulu tupo pamoja sana, hali sio shwari Dodoma the dataz ni makundi ndani ya CCM yakirushiana mawe, lakini kundi lenye nguvu ya kushika Urais 2015 ndilo linaloelekea kushinda.
- Mafisadi time is up, wameshikwa pabaya sasa maana hawana pa kupitia tena Six holds the big key to the changes which are coming ndani ya CCM kutoka hiki kikao!
......Stay Tuned.....!
FMes! - Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
Itakuwa too little, too late, hata hivyo.Consultant aliyepewa kazi ya kufuatilia sababu ya JK kupata ushindi mwembamba kawasilisha ripoti nayo imetoa pendekezo la watuhumiwa wa ufisadi kutoswa kwani ndo njia pekee ya kurejesha imani kwa wananchi
Consultant aliyepewa kazi ya kufuatilia sababu ya JK kupata ushindi mwembamba kawasilisha ripoti nayo imetoa pendekezo la watuhumiwa wa ufisadi kutoswa kwani ndo njia pekee ya kurejesha imani kwa wananchi
Consultant aliyepewa kazi ya kufuatilia sababu ya JK kupata ushindi mwembamba kawasilisha ripoti nayo imetoa pendekezo la watuhumiwa wa ufisadi kutoswa kwani ndo njia pekee ya kurejesha imani kwa wananchi
Heee asamehewe? kweli RA pamoja na utajiri wake wote lakini hana akili kabisa....yaani baada ya kusema jamani imetosha na sasa najitoa rasmi kwenye siasa,na badala yake anaomba misamaha ili aendelee kuliibia Taifa? yaani mikashifa yote hiyo anayoipata kutoka kwa wananchi bado hatosheki tu? sheenz type ccmJK anaonekana kuwa na hasira tokana na kinachoendelea ndani ya chama, Rostam kaomba radhi kuwa endapo kuna sehemu kakosea basi wamsamehe
Wakuu,
Nipo maeneo ambayo huenda nikawapasha kidogo juu ya nini kinaendelea hapa, naweza kuwa natoweka online lakini nitawapa dondoo za kinachoendelea.
Wakuu hapa wanajadili nini kifanyike dhidi ya wanaokipaka matope chama, hapa namaanisha watuhumiwa wa ufisadi pamoja na mzee Makamba