Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

Soka Ndio Maisha Yangu

Senior Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
110
Reaction score
377
1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa

2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua

3. Hana maajabu yoyote uwanjani

4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana

5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu

6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa kutokana na uwezo wake

7. Meama hamzidi uwezo Chasambi

8.Meama hamzidi uwezo Edwin Balua

9.Meama hamzidi uwezo Mutale

10.Meama hamzidi uwezo Mutale ingawa naye ni garasa

11.Fahdu ajitathmini msimu ujao ni wa moto sana
 
Number zinaongea zaidi
 
Attachments

  • IMG-20250808-WA0011.jpg
    IMG-20250808-WA0011.jpg
    27.4 KB · Views: 20
Hujui mpira Mzee, Neo Maema hapotezi mpira kirahisi, ana pass accuracy kubwa.
Huwezi kumuangalia mchezaji na kuhukumu Kwa dakika kadhaa tu.
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
 
1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa

2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua

3. Hana maajabu yoyote uwanjani

4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana

5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu

6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa kutokana na uwezo wake

7. Meama hamzidi uwezo Chasambi

8.Meama hamzidi uwezo Edwin Balua

9.Meama hamzidi uwezo Mutale

10.Meama hamzidi uwezo Mutale ingawa naye ni garasa

11.Fahdu ajitathmini msimu ujao ni wa moto sana
Jina la mchezaji tu huwezi kuandika halafu unataka watu tuamini mashudu unayoandika humu.
 
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
Tatizo lako jamaa unaongea kishabiki sana, yaani uende Mamelodi sundowns ununue mchezaji wao tegemeo?
Ubora wa Mamelodi sundowns uko juu sana na ni ghali sana.

Nadhani umetazama mechi ya Leo ya South Africa dhidi ya Algeria, wachezaji karibia wote wa South Africa siyo first eleven za timu zao lakini wamewatoa kamasi Algeria.

Unapomdharau huyo Neo Maema nashindwa kukuelewa mkuu. Ligi ya South Africa klabu inayoshika nafasi ya 6 inaweza kushindana na klabu 5 za juu za ligi ya bongo.
 
Huyo jamaa anajua mpira kuvaa jezi namba 10 Mamelodi yenye watu sio swala rahisi sana mazee umechambua kwa sababu tu una Azam ila mpira hujui kitu bhana.
Japo Mamelodi sundowns hatumii jersey namba 10 ambayo ilikuwa inavaliwa na Lucas Ribeiro.
 
Mchezaji anatolewa Kwa mkopo, msimu mzima Yuko bench Kwa kukosa kiwango.
Kama Simba wako serious na usajili wanunue wachezaji wa first 11 sio kuokota mizoga ya bench
Waende pale Mamelod wamg'oe Ribeiro, Mokoina,Zungu,Kakena
We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?
 
9.Meama hamzidi uwezo Mutale

10.Meama hamzidi uwezo Mutale ingawa naye ni garasa
"...............Unaonekana Una Chuki Sana Na Mutale.........................."
 
We huna akili kabisa Utopolo mmepewa mchezaji wa mkopo toka Sekhukhune ( Andy Boyeli) ambayo haipo hata top 5 ya ligi ya South Africa na mnatamba kabisa sembuse na Neo Maema anayetokea Mamelodi sundowns?
Andy Boyeli ana goli 6 wakati Peter Shalulile ana goli 4
Andy Boyeli ni Mkongomani hivo Kwa mazingira yetu anaweza kuja na kukupa potential yake
Sasa huyo Maema na Rushaina ambao ni bench warmer pale Mamelod na injury zao watakupa Nini, hao ni kama kina Skudu tu
Mashabiki wa Simba nyie ndo maadui wa timu yenu Kwa kutetea upumbavu
Kuna wachezaji wengi vijana huko west, mnaenda kuokoteza matakataka pale Mamelod
Anyway Wacha ligi ianze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom