😂😂Tuache kulishana upepo Mwamposa ni giant wa dunia gani!??!?, au hujui maana ya giant!?, Elon Musk anasemwa vibaya na nani!?,. Google vizuri utaona ma giant wa dunia. Acha kufananisha ma giant wa dunia na vitu vya ajabu.
Mwamposa,ni mchimbaji wa dhahabu chunya! Waumini ndio wanaomsaidia kukuza mtaji wake kwenye uchimbaji na sio kwenda mbinguniVideo mbaya imetoka kuhusu Mwamposa.
Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote.
Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu zinamuathiri Rais.
Huyu Nabii wa heshima,watu wanamsema vibaya.
Mwamposa nadhani bili yake ya ulinzi labda itaanza kuongezeka.
Kuhusu Mwigulu,amepata support ya Kanisa lake katika " kashfa" zilizomfika.
Na Kanisa kama lile likisema Neno linaweza kupata support ili tu kudunisha ecumenism.( Aumoja wa makanisa).
Lakini haya mambo ya Mwamposa sijui itakuwa vipi.
Duniani hapa ukisemwa vizuri jua wewe ni masikini wa kutupwa, kusemwa vibaya ni ishara kuwa unapambana na unaendelea vizuri, giants wa Dunia wote wanasemwa vibaya
Usilete majungu, sema kilicho msibu Mwamposa kinaga ubaga kijadiliwe na atiwe hatiani hapa JF.Video mbaya imetoka kuhusu Mwamposa.
Mambo mabaya, haiwezekani hata kuyazungumza hapa JF au popote.
Tatizo ni kwamba huyu "Nabii" amekuwa rafiki mkubwa wa Rais Samia na sifa mbaya Kwa huyu mtu zinamuathiri Rais.
Huyu Nabii wa heshima,watu wanamsema vibaya.
Mwamposa nadhani bili yake ya ulinzi labda itaanza kuongezeka.
Kuhusu Mwigulu,amepata support ya Kanisa lake katika " kashfa" zilizomfika.
Na Kanisa kama lile likisema Neno linaweza kupata support ili tu kudunisha ecumenism.( Aumoja wa makanisa).
Lakini haya mambo ya Mwamposa sijui itakuwa vipi.
Ushahidi ni mbaya sana .We jamaa acha kumchafua apostle Mwamposa,kama Kuna ushahidi uweke hapa
Bill Gates; Elon Musk, Ibrahim Traore et al sio miongoni mwa Giants?Duniani hapa ukisemwa vizuri jua wewe ni masikini wa kutupwa, kusemwa vibaya ni ishara kuwa unapambana na unaendelea vizuri, giants wa Dunia wote wanasemwa vibaya