Mambo hayooo!

shshshsh CUTE usimchokoze pulizzzzz Asprin asubuhi hivi lol! huyo huyo Judgement hata kama anastahili! na tiba basi apatiwe, maana nimekion tu kiuno kilipoanzia kwenye picha, hakipaswi kuumwa, Preta ana macho sana, kudos to her kwa swali murua!
namkubali sana Asprin mana mapicha anayotuwekea humu inaonesha anaona sana vingi hapa duniani hahahha!
 
mzigo.jpg
Kazi kwenu!

Huyu ndo wakunipa lift bila khanga.....weweeee kigoda changu hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom