Mambo hayakukaa sawa tena baada ya kuniandika hapa JF

Mambo hayakukaa sawa tena baada ya kuniandika hapa JF

😅😅😅 Dah bora yako Wewe my wangu Mimi alikuwa akiandika maisha yake ya kuchepuka na jinsi alivyokuwa akigongwa na michepuko yake ilihali ID yake nilimfungulia Mimi Mwenyewe 😭😭😭
Duh, ukachukua hatua gani?
 
Basi bana,baada ya safari ya Arusha kuharibika Tket zikatupwa na siku ya Idd ikafika,tumetoka nyumbani baada ya kuwaacha watoto,tukaenda sehemu moja hivi siyo mbali na nyumbani.Hapo tukapiga vyombo na baada ya kukolea,ilitokea fujo nikajikuta Nampa vitasa.Walipotuachanisha yeye akapotea nikawa simuoni,ikabidi nichukue ndinga niende home.Nimefika home hayupo ikabidi nigeuze kurudi tulipokuwa ,napo hakuwepo.Ilibidi nigeuze Tena nirudi home napo hakuwepo.Nilijihisi kuvurugwa,nikageuza tena.Basi,pale nyumbani kwa juu kunakona na walikuwa wamepachimba Kuna gema pembeni mwa barabara,Ile nimekunja tu mwanangu,sikujua Nini kimetokea,nilijikuta nimejikunyata nimekalia bodi ya gari na gari ikiwa kichwa chini miguu juu.Kuna dogo mmoja hivi alikuwa home,aliposikia mlio phuu,akaja mbio ,huyo ndo alinifungulia mlango wa gari nikatoka.Nilitoka mzima kabisa isipokuwa tu pombe zote ziliniishia.Siwezi endelea kuandika ngoja nikagonge bia moja kwanza.See you later.
 
WANANCHIIIIIIIIIIII
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
LEO NI KIVUMBI NA JASHO.
TUNATINGA NUSU FAINALI KIBABE.
MADUNDUKA LEO YATALILIA CHOONI
Nitafurahi sana,halafu huyo mtu alikuwa ni kolo,siku mojnSimba na Yanga tumeenda sehemu amevaa nguo nyekundu halafu akawa anashangili Simba .Aliniboa kishenzi.
 
Ungeweka na link ya Uzi aliokujandia tuungue dots vizuri,
Malizia Uzi basi
 
Back
Top Bottom