Mambo hayakukaa sawa tena baada ya kuniandika hapa JF

Inaonyesha ni kweli ulikuwa unampa kichapo sana pia ni mpiga gambe mzuri tu sasa kipya kipi hapo alichoandika hadi kikakukera? Au alikosea kusema ukweli
 
Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake.

Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa addict wa K yake ingawa likuwa ananikwaza sometime.

Nilikuwa najihisi kuchakata kila wakati na nikawa nafuatana naye kila mara. Alikuwa n maneno Fulani hivi ya kukera lakini mambo yalienda namna hiyo.

Nikatokea kuijua ID yake hap JF nikawa namfuatilia kimtindo, siku ya siku nikakuta ameniandika anaomba ushauri.

Alidai namgonga sana ,mara 3 kwa siku ,akizingua nampiga na kwamba nakula gambe sana, napenda movie za akina igwe na kushinda JF.

Aliniponda sana na wadau wengi walimuunga mkono na wengine kunitetea.
Na wewe kwanini upende movie za akina igwe?
 
Hivi uko serious! Kuna mahali Mimi nimeandika neno ushauri ukiachana na kuomba ushauri? Jaribu kusoma na kuelewa kabla ya kucomment.Mimi siombi chochote,nimekumbuka tu hilo tukio nikacheka halafu nikataka ni reveal tu ukweli kama wafanyavyo CIA. Halafu kama unaona huitaji post basi hujalengwa wewe,nenda unapopataka.USINIPANGIE.
Haya bwa mdogo endelea wasomaji tupo hapa HATUKUPANGII.
NYambaf
 
Ni miaka kama minne au mitatu hivi, nilikutana na dada mmoja ambaye alikuwa na muda mfupi Toka afiwe na mume wake.

Tulijikuta tumeingia kwenye mapenzi Hadi akahamia kwangu, nilijikuta nimekuwa addict wa K yake ingawa likuwa ananikwaza sometime.

Nilikuwa najihisi kuchakata kila wakati na nikawa nafuatana naye kila mara. Alikuwa n maneno Fulani hivi ya kukera lakini mambo yalienda namna hiyo.

Nikatokea kuijua ID yake hap JF nikawa namfuatilia kimtindo, siku ya siku nikakuta ameniandika anaomba ushauri.

Alidai namgonga sana ,mara 3 kwa siku ,akizingua nampiga na kwamba nakula gambe sana, napenda movie za akina igwe na kushinda JF.

Aliniponda sana na wadau wengi walimuunga mkono na wengine kunitetea.
Unaendelea au ndio umemaliza? Tuanze kutoa ushauri lakini bado sijaelewa unataka tukushauri au unatupa stori tuuu..... Haya malizia nini kiliendelea kati yako na huyo mjane
 
Mambo yalivurugika toka wakati huo,nilianza kumchukia kwa tukio lile na aliamua kuondoka ila akataka nihamie huko Sinza nikakataa,nikaamua kumfariji niwe naenda enda ila baadaye nikamkamata anananipiga Sachi usiku niliacha pesa mfuko wa suruali niliyokuwannimetundika kwa hanger,alipoamka na Mimi nikastuka alipogusa suruali nikamuona alipotoa bunda tu,nikamstua na kumuuliza unatafuta Nini? Akajibu ela nikamuacha na yeye akaacha baada ya hapo nikawa siendi.Aliamua baadaye kurudi ingawa nilimwambia sitaki,alikuja akakaa kama mwaka hivi akachemka akaondoka.Baada ya mwaka mwingine nikasikia kazaa mtoto wa nne.
Aiseeee sawa sawa kwahiyo ikawaje kwanini alikiwa anakusachi ulivyosikia sikia kifo cha mume wake kilikuaje?
 
Back
Top Bottom