ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Ipo siku nitaleta uziTusimulie kidogo
Ipo siku nitaleta uziTusimulie kidogo
Bado unakumbuka siyo? Tatizo ni mropokaji,anaendekeza watoto,anafuja Hela na mjuaji.Yule aweza enda Hata Sea Creed,au kiwanja chochote akatumia laki mbili halafu kesho yake hata Hela ya chakula Hana.Na anapenda ukipata pesa umkabidhi halafu uwe unamuomba ya matumizi,ukimuomba sana anaanza kulalamika wakati pesa umempa wewe.Anapenda kuhamisha watoto shule Tena za ada kubwa ilihali uwezo mdogo.Nadhani wewe ni mmoja wa waliokuwa sympathizers wake ,mkanipopoa saana.Namshukuru Mungu alinipa kunyamaza.Karibu tukumbushane ,tufurahi anyway.Roho bado inaniuma yani nikikumbuka,yule dada alikuwa mjanja sana,na najua yumo humu na ID mpya
Safi sana.Mimi personally nimepigwa matukio mawili humu.....
Ila nyie watu wa JF nadhani siyo wa kawaida.Unamjibu mtu ambaye siyo,mwingine anasema Mimi naomba ushauri yaani vurugu mechi.[emoji848][emoji848]
Pole kwa mazito yaliyokukuta
Aiseee!Safi sana.
Ila nyie watu wa JF nadhani siyo wa kawaida.Unamjibu mtu ambaye siyo,mwingine anasema Mimi naomba ushauri yaani vurugu mechi.
Ni maarufu Sana hapa jf ila siku hizi Kam anaingia ni kwa I'd tofautiWatu mpo busy na kumsaka Ayanda
Nimeuchek sikuoni,kama utaweza check ulihusu"wanaotafuta wachumba mitandaoniNaomba link ya huo uzi mkuu
Huwa mkiwapiga wenzenu matukio mnakuja kujisifia humu kama hili furushi.Aiseee!
NdiyoooKweli?
Matukio yaliyonikuta mimi huku ipo siku nitayaanika.Huwa mkiwapiga wenzenu matukio mnakuja kujisifia humu kama hili furushi.
Acha nanyi yawakute[emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]![]()
Anadai anachoka kunipa kila siku
Jamaa yangu mmoja ni noma, ameanza kuchanganyikiwa maana bila mkewe kumpa kila siku anadai anaumia, analalamika, kaniuliza iama ina madhara kiafya nikamwambia hakuna madhara kisayansi ila sasa mke, anadai anachoka, mpaka anaamua afanye mastabeshen. Jamaa anauliza, huyu mtu vipi?www.jamiiforums.com
Aliyepigwa matukio siyo mimiMkuu pole kwa matukio
Huh!! Lete lete story wambea tufurahi.Matukio yaliyonikuta mimi huku ipo siku nitayaanika.
Kwa sasa naangalia bado impact yake kwangu na kwa wahusika.
Wapenda ubuyu sasaMalizia habari mkuu
Wewe utakuwa unakumbuka,huu Uzi niliufungua baada ya yeye kuwa analalamika sana.Leta basi na ule aliopost yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]