Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,906
- 172,803
Kwahiyo mmeishiaje sasa, umemuacha, kakuacha, mmeachana, bado mpo mnachangamshana?
Mambo yalivurugika tok wakati huo,nilianza kumchukia kwa tukio like na aliamu kuondoka ila akatak nihamie huko Sinza nikakataa,nikaamu kumfariji niwe naenda enda ila baadaye nikamkamat an ananipiga Sachi usiku niliacha pesa mfuko wa suruali niliyotunsika kwa hanger,alipoamka na Mimi nikastuka alipogisa suruali nikamuona alipotoa bunda tu,nikamstua na kumuuliza unatafuta Nini? Akajibu ela nikamuacha nayeye akaacha baada ya hapo nikawa siendi.Aliamua baadaye kurudi ingawa nilimwambia sitaki,alikuwa akakaa kama mwaka hivi akachemka akaondoka.Baada ya mwaka mwingine nikasikia kazaa mtoto wa nne.
Ila Hata huyu kabla hatujakutana likuwa anaandika kuhusu mumewe na michepuko yake.[emoji28][emoji28][emoji28] Dah bora yako Wewe my wangu Mimi alikuwa akiandika maisha yake ya kuchepuka na jinsi alivyokuwa akigongwa na michepuko yake ilihali ID yake nilimfungulia Mimi Mwenyewe [emoji24][emoji24][emoji24]
Nilimaliza sana ikabidi aondoke akitegema nitahamia kwake,kwa kuizimiamia K yake nikawa naenda baadaye nikaacha .Ni story ndefu Kuna siku nijikuta Niko Makumbusho sa nane na simu moja wameiba,Kuna siku nilipenda kwake nikalala peke yangu Hadi asubuhi.Kiufupi ni kwamba tulishaachana.Kwahiyo mmeishiaje sasa, umemuacha, kakuacha, mmeachana, bado mpo mnachangamshana?
Zipi Tena chief?Hizo dozi atazikumbuka siku si nyingi.
Mlikua mnazichapa wewe na huyo mwanamke.....tunaomba ID yake tumpe hongera mwanamke mwenzetu🤣🤣🤣Baada ya kuwa nimesoma kama two days comments za wadau na majibu yake,na Mimi nilikuwa nikitumia akaunti nyingine nachana au namsifia kiutani nikawa nachukua simu yake naingi kwenye akaunti yake .Cha ajabu nafanya yote hayo bila yeye kugundua.Nilikuja kugundua kwamba alikuwa na stress maana alikuwa amevurugana karibu na kila mtu.Nilimuuliza kina akawa hajastuka ila baadaye niliamua kumwambia ukweli.Hakuweza kubish Wala Nini maana kila kitu kilikuw wazi.Wakati huo alikuwa na mimba tayari na alishaamua azae kwani kabla y hapo alikuwa amezifrash mimba mbili.Mambo yalianza kuwa magumu kwani alikuwa ainitolea maneno ya shombo nachechezea kipigo.Siku moja tuko La Stanza Goba tunakula Bata,alitokea kuleta zake tukatandikana pale na chanzo ilikuwa nani adrive kurudi home,kwakuwa tulikuwa vyombo ikalet shida tukimana nguvu kidogo.Mwanaume nikakali usuka tukarudi home salama.Siku nyingine tulikuwa maeneo y Temboni na watoto Kisha tukawarudish nyumbani na yeye siku hizo alikuwa amevuta mkwanj Fulani kazini kwao,tukakata Tket twende Arusha ,kufika asubuhi tuondoke akaghairisha Hela ya Tket mbili ikapotea.Siku ya siku ilikuwa Idd ,tukaanzia Temboni,tukarudisha watoto nyumbani na tukatoka Tena.Kwakuwa nimechoka kuandika ,naishia hapo Hadi nikijisikia Tena nitaandika.
[emoji28][emoji28][emoji28] Dah bora yako Wewe my wangu Mimi alikuwa akiandika maisha yake ya kuchepuka na jinsi alivyokuwa akigongwa na michepuko yake ilihali ID yake nilimfungulia Mimi Mwenyewe [emoji24][emoji24][emoji24]
Duh! Pole sana mkuu.Mambo yalivurugika toka wakati huo,nilianza kumchukia kwa tukio lile na aliamua kuondoka ila akataka nihamie huko Sinza nikakataa,nikaamua kumfariji niwe naenda enda ila baadaye nikamkamata anananipiga Sachi usiku niliacha pesa mfuko wa suruali niliyokuwannimetundika kwa hanger,alipoamka na Mimi nikastuka alipogusa suruali nikamuona alipotoa bunda tu,nikamstua na kumuuliza unatafuta Nini? Akajibu ela nikamuacha na yeye akaacha baada ya hapo nikawa siendi.Aliamua baadaye kurudi ingawa nilimwambia sitaki,alikuja akakaa kama mwaka hivi akachemka akaondoka.Baada ya mwaka mwingine nikasikia kazaa mtoto wa nne.
Sitaki ushauri,nimekumbuka tukio la kweli Ili tufurahi tuKamilisha uzi basi tukushauri
Kwahiyo ulifanyaje sasa mbona unatuletea habari nusunusu
Simu ndo inaedit inanipotezea credibility.Nilikuwa namchapa na ndo moja ya malalamiko yake. anaitwa ayandaMlikua mnazichapa wewe na huyo mwanamke.....tunaomba ID yake tumpe hongera mwanamke mwenzetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anataka tuanze kupata kihoro tena kusubiri muendelezo wooiNaunga mkono hoja,amalizie story hatutaki vitu nusunusu
[emoji28][emoji28][emoji28] Dah bora yako Wewe my wangu Mimi alikuwa akiandika maisha yake ya kuchepuka na jinsi alivyokuwa akigongwa na michepuko yake ilihali ID yake nilimfungulia Mimi Mwenyewe [emoji24][emoji24][emoji24]
Simu ndo inaedit inanipotezea credibility.Nilikuwa namchapa na ndo moja ya malalamiko yake. anaitwa ayanda
Ha ha ha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]