ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Ngoja na mimi nije nitoe ushuhuda jinsi nilivyozama kwa dada wa Jf kwa muda wa mwaka na zaidi,tukajakuachana baada ya kunipiga tukio moja la kijasusi
😅😅😅😅 Dah pole mkuu ,hebu kamata konyagi kubwa hapo ujipooze machungu ya moyoIla Hata huyu kabla hatujakutana likuwa anaandika kuhusu mumewe na michepuko yake.
Ngoja na mimi nije nitoe ushuhuda jinsi nilivyozama kwa dada wa Jf kwa muda wa mwaka na zaidi,tukajakuachana baada ya kunipiga tukio moja la kijasusi
Mimi personally nimepigwa matukio mawili humu.....Ila afadhali Kama na Me mnapigwa matukio
Huyu mbona jina linafanana na yule dada ambaye alinizingua humu.
Kusema alifiwa na mwanaume wake,mbona stori zinafanana,au tulipigwa.
Mimi personally nimepigwa matukio mawili humu.....
Ndo maisha[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Leo nimekumbuka mbali sana
Jf bwana
Pole kwa matukio,
VungaHebu tupe story yako na wewe tujue ilikuwaje
Ila afadhali Kama na Me mnapigwa matukio
ID ya JF ila Nina wasiwasi alishaachana nayo baada ya lile tukioAyanda ndo ID yake ya JF au ni jina lake la mtaani?
Vunga
Mimi sikupigwa tukio.Kama unaweza tafuta Uzi husika ilikuwa 2017 kuelekea 2018.Na hapa ni kupeana kumbukumbu na kufurahi.Siombi ushauri.Wakati ule sikutaka kutoka hadharani kwani nilikuwa na hasira.Sasa hivi Sina hasira my Concience is free.Tena waendelee kupigwa matukio tu
Jina hili lilikuwa la huko uraiani
Ni ID siyo uraiani.Acha uongo.Muulize Miss Natafuta atakiwa anakumbukaJina hili lilikuwa la huko uraiani
Mimi sikupigwa tukio.Kama unaweza tafuta Uzi husika ilikuwa 2017 kuelekea 2018.Na hapa ni kupeana kumbukumbu na kufurahi.Siombi ushauri.Wakati ule sikutaka kutoka hadharani kwani nilikuwa na hasira.Sasa hivi Sina hasira my Concience is free.
Kuna shida gani nijulishe please. Nimekuja baada ya kupata wito wako. Kuna kuna mtu anawazingua nijulishe tu.Itaendelea ngoja mkuu wa simulizi Chizi Maarifa atie timu uone
Roho bado inaniuma yani nikikumbuka,yule dada alikuwa mjanja sana,na najua yumo humu na ID mpya
Nimekupata mkuuNi ID siyo uraiani.Acha uongo.Muulize Miss Natafuta atakiwa anakumbuka