Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,054
- 79,399
MAMBO HAYA YAMENIFANYA NIONE DUNIA IMEFIKA MWISHO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Wengi wetu tunajua hakuna Jambo au kitu kisicho na mwisho.
2. Hata Dunia tunayoiishi inamwisho wake. Kisayansi na kidini.
3. Sasa kwenye Dini tunaambiwa Kiyama(mwisho wa dunia) kutakuwa na hekaheka na matukio ya kushangaza sana.
4. Kwa upande wangu kuna matukio ya kushangaza nikiyaona naona ule mwisho wa dunia sasa umefika. Matukio au mambo hayo ni kama ifuatavyo;
a) Mtu kumchukia mtu asiyemjua.
Kikawaida huwezi mchukia mtu usiyemjua. Ili mtu umchukie lazima umjue walau kidogo.
Lakini Kiyama kipo mlango. Huwezi Amini MTU anaweza kukuchukia kabisa na kukuombea mabaya na hakujui zaidi ya kukuona tuu mtaani au mitandaoni.
Huu kwangu ni moja ya maajabu ya kiyama.
b) Kutoa Mahari kwa mwanamke ambaye hukumkuta Bikra.
Sio Jambo la kawaida. Mwanzoni na Zama za Kati za dunia Mwanamke asiye na bikra kuolewa hata sogea tukae ilikuwa kipengele achilia mbali kutolewa mahari.
Lakini tangu kiyama iingie wanaume wengi wanaooa tena kwa mahari wanawake wasio na bikra.
Dalili kwamba ni mwisho wa dunia wahusika huona ni kawaida wakati sio Jambo la kawaida.
c) Wanaume kujisifia uzuri.
Sio Jambo la kawaida kijana kujisifu yeye ni Mzuri. Achilia mbali kijana kusifiwa na mtu. Lakini Zama hizi vijana wengi watakushangaza, kijana anajisifia ni mzuri. Analips nzuri, au anamacho mazuri.
Kiama kipo mlangoni.
d) Wanaume kujenga miili yao ili wavutie.
Sio Jambo la kawaida hata kidogo. Yaani kijana ana gym kujenga body yake ili awavutie wanawake. Anajenga six pack, kifuaz n.k.
Kiama hakika. Mara nyingi wanaume wenye mtazamo wa namna hii wanakuwa na homoni nyingi za kike (oestrogens) na huwa na hulka za kike mojawapo ya hulka kuu ya kike ni kutaka kuvutia yaani aonekane ana mvuto.
Mwanaume anayepiga Gym hana tofauti na Mwanaume anayepaka lipstick, au anayepaka makeup.
Au hana tofauti na wanawake wanaojiedit lengo Lao linakuwa linafanana.
e) Ujinga kuheshimiwa kuliko Akili.
Kiama hiko. Zamani mtu akikutukana akakuita mjinga unaweza kurusha ngumi mkauana.
Na Ilikuwa aibu kufanya ujinga mbele za watu. Kitu hujui unakaa kimya. Heshima inachukua mkondo wake.
Lakini Siku hizi za mwisho, ujinga unaheshimika na wajinga wanaheshimiwa.
Wajinga hawana aibu tena.
Ujinga Siku hizi unalipa.
Yaani humu ndani leta akili zako alafu Mimi nilete maujinga alafu uone Nani atapata airtime, Nani atapata pesa mapema.
f) Kuamini Single Mothers haongei na Mzazi mwenza.
Wahenga wanasema Mtalaka hatongozwi.
Wahenga Wakaongeza, Mavi ya Kale hayanuki.
Wahenga wakamaliza, awali na awali hakuna awali mbovu.
Lakini Zama za Kiyama wanaume wengi wasiopelekwa jando, waliokataa ukweli. Wao wanakuambia single mother haongei na Mzazi mwenza. Na wanaamini kabisa kwamba Hawaongei kwa sababu wamewaoa hao wanawake.
Hilo ni ajabu la dunia.
g) Kumtumia Nauli mwanamke.
Hili pia lilinishangaza Sana. Mwanamke umekutana naye kwenye daladala au mtandaoni. Au popote pale. Mkabadilishana mawasiliano. Humjui hakujui.
Lakini kwa akili za kiajabu pesa zako zinamjua. Unajikuta unamtumia nauli.👐🏼👐🏼😂😂. Hicho ni kiwango cha juu ya kutojielewa.
Demu kwa vile anajua kichwa chako kimejaa pumba za kulishia misukule. Demu hatokei. Haji kwa sababu ameshakudharau, amekuona huna Akili.
Demu anayekuta hawezi kosa nauli kuja kwako. Hiyo ipo hivyo.
Siku za mwisho wanaume watamua kujidharau na kudharauliwa na wanawake na watoto.
Na wanawake wataamua kujidhalilisha.
h) Kuamini wachungaji fake kuliko Waume zao. Na bado mume anaendelea kuishi na huyo mwanamke.
Hii pia ilinifanya niamini tupo Siku za mwisho.
Yaani Mke anamsikiliza Aposto kuliko anavyokusikiliza wewe mumewe.
Na mwanaume anaona ni Jambo la kawaida. Hakika hii ni maajabu.
Kwako ni kitu gani ulikiona ukasema dunia imefika ukingoni?
Nakabidhi maiki kwenu
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam