Mambo haya ni kweli

Mambo haya ni kweli

ooooooh My!!!! hahahahahaha inhiiinhiinhiinhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! umenivunja mbavu sana aisee ngosha!!!

Ipo siku utakapokuta michoro ya masamaki Mpk sehemu za hatari za Kasinde ndo utamjua Msukuma km hafai!
 
ooooooh My!!!! hahahahahaha inhiiinhiinhiinhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!! umenivunja mbavu sana aisee ngosha!!!

Mkuu Upo lkn? Mwisho wa mwaka ni shida Mkuu..! Kz mingi mambo kibao hela hakuna Yani ni balaa...! Busy sn joto Kali kinouma.

Mr Rocky Yuko Pouwa kabisa na wake zake?

Aisee mi mzima Mkuu Nipo tu na Khantwe wangu Aisee.!
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana kukusikia kaka Mkubwa.. Nipo, nachakarika ili angalau wajuu wangu wapate mkate wa viazi hii sikukuu.. Wasijeona babu yao nimekuwa magumashi...

Nikutakie kila lililo jema kwako na familia yako my brother.

Safi sana Mkuu Ntuzu usipotee hivyo bana
Huku kusaka shilingi ambayo ishachukuliwana watu wa Escrow hakuishi mkuu ila salam tuu ni muhimu sana aise
Msalimie sana Khantwe na mwambie nimemiss sana
 
Wabheja sn nkoi!
 
Nikweli Mkuu!!

Salamu zimefika Mkuu!!

Shukrani sn kamanda!
 
Last edited by a moderator:
Nikweli Mkuu!!

Salamu zimefika Mkuu!!

Shukrani sn kamanda!

Kiongozi, chei chei..!
Kwani umejificha wapi siku hizi? Sijakuona miaka mia. Msalimie sana Khantwe..mwambie ana kesi na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Me, I smell Kenyan accent, tena huyu tulikutana training flani hivi ilifanyika Holiday Inn. He was so exited about Tanzanian ladies that they are beautiful than Kenyan girls. And that Tanzania people party from monday to sunday while in Kenya people party from friday to sunday. IVO.
Hapana hii inabidi uanzishie thread hapa....kwel ikawaje sasa after training lazima kuna issue iliendelea i can smell something......ebu funguka kidogo kwa faida yangu.
 
Hahahahaaaa unapenda ubuyu eehhh. Basi wacha nitulie niianzishie thread, namie nnavopenda kuongea sasa hahahahaa andaa sikio tuu

Hapana hii inabidi uanzishie thread hapa....kwel ikawaje sasa after training lazima kuna issue iliendelea i can smell something......ebu funguka kidogo kwa faida yangu.
 
Kiongozi, chei chei..!
Kwani umejificha wapi siku hizi? Sijakuona miaka mia. Msalimie sana Khantwe..mwambie ana kesi na mimi.

Mwambie unanidai milioni mbili
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi, chei chei..!
Kwani umejificha wapi siku hizi? Sijakuona miaka mia. Msalimie sana Khantwe..mwambie ana kesi na mimi.

Chei Chei mkuu Eli79
Mi nipo kamanda nimejaa tele.

Huyu Khantwe inakuaje awe na kesi na wewe?
 
Last edited by a moderator:
Hana ubavu wa kunilipa, hata kama ana pande la escrow.

Wewe huifahamu ESCROW. imetikisa nchi sembuse huto tu m2 twako twa kulala nights mbili pale Malaika Mwanza tunaisha....!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom