Mambo haya ni kweli

Mambo haya ni kweli

Mr Rocky anayo picha yako ukiwa ufukweni unafanya mazoezi, sasa sijui aliipata wapi. Hio picha ni sisimshi saana!!!

Halle Berry wa Bongo haonekaniki.

Yaalaaaah!! mpenz naomba ivute kutoka kwa Mr Rocky maana sina hata amani wala raha....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa... Mkubwa kwa hii hali yako ya kupiga picha na lile fungu Ruge alilokugawia pale Mkombozi, Sina shaka na wewe hata siri zikivuja utaendelea kuwa msafi tu.


Unanionea tu bure, Mimi naripoti nachokiona tu monomao!!!!
Tized hizi kashfa kuna mtu anakulipa au vipi aise
Maana mimi kuwa na picha za akina Kasinde, miss chagga, Khantwe, Dena Amsi miss neddy, zinakuuma sana aise
Ngoja nikupatiemo na wewe ukae nazo

Mr Rocky anayo picha yako ukiwa ufukweni unafanya mazoezi, sasa sijui aliipata wapi. Hio picha ni sisimshi saana!!!

Halle Berry wa Bongo haonekaniki.

taratibu hapa bado nakusanya nyingine aise
 
Last edited by a moderator:
Ushahidi wa kimazingira unaonesha there is somthing fishy!!!
Yaalaaaah!! mpenz naomba ivute kutoka kwa Mr Rocky maana sina hata amani wala raha....
Aisee ivi unajipenda kweli we ndugu?
Kasinde si unakumbuka siku ile tupo wote beach nikakupiga picha hiyo sasa mbona unamdanganya Tized hujui imefikaje kwangu wakati unajua kabisa
Bora umejisema mwenyewe, hii comment yako ndio utakuwa ushahidi wangu mahakamani kwenye talaka.
Kasinde wacha kuzuga bana usimzuge Tized hapa unajua kila kitu aise
 
Hahahahaaaa... Mkubwa kwa hii hali yako ya kupiga picha na lile fungu Ruge alilokugawia pale Mkombozi, Sina shaka na wewe hata siri zikivuja utaendelea kuwa msafi tu.


Unanionea tu bure, Mimi naripoti nachokiona tu monomao!!!!

haya mbe
 
This is the Boflo I used to like
 
Last edited by a moderator:
Kinachoniuma ni aina ya picha ulizo nazo.. si bora ungekuta una picha wakiwa kwenye magauni nini nini? Hatareeee!!

Usinitumie mkuu, zitanisababishia nianze kuvuta kumbukumbu za kale hapa, watoto wameumbika hao bwana!!!

Tized hizi kashfa kuna mtu anakulipa au vipi aise
Maana mimi kuwa na picha za akina Kasinde, miss chagga, Khantwe, Dena Amsi miss neddy, zinakuuma sana aise
Ngoja nikupatiemo na wewe ukae nazo



taratibu hapa bado nakusanya nyingine aise
 
Jamanii Tized sio kwelii, mia hata sikuwa nae beach, au Mr Rocky alininywesha lawa lawa siku ile ya party kisha akaniiba na kunipeleka beach?

Ushahidi wa kimazingira unaonesha there is somthing fishy!!!

Aisee ivi unajipenda kweli we ndugu?

Bora umejisema mwenyewe, hii comment yako ndio utakuwa ushahidi wangu mahakamani kwenye talaka.

Utetezi tuu hakuna cha dawa wala nini na ulikuwa mzima kabisa wala hakuna cha dawa na uliniambia mwenyewe twende beach tukapunge upepo maana sherehe ilikuchosha na mimi sikuvunga bana nikaenda so mwambie Tized ukweli wako usimfiche
 
Last edited by a moderator:
Kinachoniuma ni aina ya picha ulizo nazo.. si bora ungekuta una picha wakiwa kwenye magauni nini nini? Hatareeee!!

Usinitumie mkuu, zitanisababishia nianze kuvuta kumbukumbu za kale hapa, watoto wameumbika hao bwana!!!


Hahahaha mkuu Tized wala usiwe na wasi wasi no offence linapokuja suala la kuwatamani warembo aise maana macho hayana pazia na mwanaume yetu mateso aise
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa.. sawa mkuu, kwenye hii sekta una PhD walahi!!!


Yap yap. ukutane la kwaza kushoto.


Mkuu Tized nakaribia kuwa le professeri le doctor le mutu mukubwa ila sina tezi dume aise hahahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa... siku hizi tuna Dr Platinumz aisee.... mimi tu nimebaki.

Hahahaaaa..huyu jamaa ni mjanja sana.. huwa anategea mabomu yakianza kulipuka anapotea.. ie Richmond, Epa, Escrow, Operation Tokomeza n.k ... uprofesa hauji hivi hivi.. hawa jamaa wana maana kubwa kumpa.

Mkuu Tized nakaribia kuwa le professeri le doctor le mutu mukubwa ila sina tezi dume aise hahahahaha
 
Kujichora matatoo na kunenepa kwa kipenzi changu Kasinde wapi na wapi bwana? we endelee kujichora chora wenzio twala.
Mambo yangu hayo mkulu Mpk amenenepa...! Bado kidogo atakuambia hakutaki tena!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom