Mambo haya ni kweli

Hahahahaaaa unapenda ubuyu eehhh. Basi wacha nitulie niianzishie thread, namie nnavopenda kuongea sasa hahahahaa andaa sikio tuu
Kama nikuongea kabisa nipe namba yako ya simu basi ili tuongee bila kusumbua hawa walimwengu hapa hata mimi huwa napendaga kuongea saa zingine ati.Ila please tuongee kuanzia saa 2 asubuh mpaka 11 jion tu.....Na tukubaliana ntasave jina lako kama MjombaDar.
 
Tabu yote ya nini, JF ndo mpango mzima. Mambo ya masharti kama jeshini yalinishindaga, mchana mwema ila michepuko iache haina dili iko siku utakuwa home siku ya kazi, na mamsap yupo mchepuko unapiga ukijua uko kazini...hatareee

Kama nikuongea kabisa nipe namba yako ya simu basi ili tuongee bila kusumbua hawa walimwengu hapa hata mimi huwa napendaga kuongea saa zingine ati.Ila please tuongee kuanzia saa 2 asubuh mpaka 11 jion tu.....Na tukubaliana ntasave jina lako kama MjombaDar.
 
Add this; 1/Umechil na mpenzi wako then ukajamba kwa bahati mbaya mara unaanza kuleta story nyiiiingi kupotezea kiushuzi ulichokitoa,.....then are you a story maker for kids?

2/Umeenda Ukweni kujitambulisha na mpenzi wako,then umefika tu unagundua Dada wa mpenzi wako ndiye unaeChepuka nae currently bila kujua ni dada wa mpenzio na umeshamdanganya kwamba huna mpenzi sasa unaanza kuona aibu na kujing'atang'ata,....so you are shy!

3/Umemnunulia mchepuko wako zawadi ya gharama umempelekea sasa hakuipenda ukajisaau ukajikuta umerudi nayo kwa mkeo sasa ili kupotezea unamwambia mkeo SURPRIIIIIISE.....!!Huku mkeo akiwa amestaajabu na kutahamaki wewe unaanza kutoa maneno meengi kwa mkeo Ooooh now nimeamua kuzidisha upendo kwako my wife,mara sitokutenda mke wangu..., hey are you a politician?


Mwenye kuongezea...Welcome!
 
Tized u dont have to dig in everything ooo vitu vingine ni vya chumbani saaana tuachie tu wenyewe udaku wa chumbani ni mwingi mno nisingependa kiwatengu autoe
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom