Kama huna mkataba wa ka-uhuru hako unaweza kusababisha mwenzi wako ajitie kitanzi. Mimi na mdau wangu tulishapeana ruksa kuona ila ni mwiko kusonga mbele zaidi ya hapo.
Kumega hakukubaliki. Mtukuze tu Mungu uende zako. Kila siku bucha zinajengwa tu. Ukishachagua moja tulia ufaidi nyama na siyo kutanga tanga!