Mambo gani umewahi kumuomba Mungu na akakujibu papo hapo?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,610
2,000
Kuna muda bwana unaweza ukabanwa na mambo magumu katika maisha, na ukashindwa njia zote hatimae ukaamua kumuomba Mungu moja kwa moja na akakujibu?

Mimi kuna matukio kadhaa aisee naamini moja kwa moja Mungu ndiye alinisaidia.

1. Kukingwa na mvua kubwa
Mnamo mwaka 2008 nilikuwa katika moja ya shughuli za utafutaji katika Kijiji kimoja kinaitwa MKANYAGENI huko Tanga. Tulikuwa katika mapori fulani huko tukichana mbao. Lakini siku mbele baadae nilianza kuumwa na homa kali Sana. Jamaa zangu wakaamua kuniruhusu na kurudi mjini ili nisije nikawafia kule.

Safari ilikuwa Ni ndefu na ni ya mguu, nilitembea kilomita kadhaa na hatimae nikashindwa kabisa kutembea kutokana na kuishiwa nguvu.

Nikiwa nimekaa chini sijui cha kufanya, angani ilitanda mvua moja kubwa Sana, dakika chache baadae ikaanza kunyesha. Pale nilipo hapakuwa na nyumba wala sehemu yoyote ya kujizuia na mvua.

Kiukweli niliamua kumwambia Mwenyezimungu kana kwamba naongea na mtu. Nikasema "Ewe Mwenyezimungu, nakuomba uizuie mvua hii mpaka ntakapofika mjini kwani Kama ikininyeshea hapa hakika sitoweza hata kutembea"

Basi mvua ile ilikata na nilijikongoja mpaka kufika pale MKANYAGENI majira ya saa 2 usiku tangu saa 10 jioni.

Nilipofika tuuuu, aisee mvua iliachiwa sijapata ona... Daaah nkasema kweli Mungu yupo.

2. Chakula cha hapo kwa hapo
Mwaka 2015, siku moja nikiwa sina hata mia mbovu. Mipango yangu yote imepinda. Njaa inaniuma sijakula siku nzima mpaka nikafikia hatua ya kulegea kwa njaa.

Niliamua kumwambia Mungu nisaidie, nitakufa na hii njaa mimi mja wako.

Nilitoka kuelekea nisikokujua, lakini baada ya dakika kadhaa niliamua kurudi tu geto.

Aisee kitu cha kushangaza WALLAAHI nilimkuta mtoto wa jirani pale mlangoni kwangu akinisubiri na akiwa ameshika bakuli ya wali.. kwa kudai kuwa amepewa na mama yake aniletee... Nilishangaa Sana maana huyo mama wala Sina mazoea nae wala HAKUWA jirani wa karibu...

Nkasema kweli Mungu amejibu maombi. Asante sana Mungu.

3. Kuokoka kufumaniwa na mke wa mtu

Hii ilikuwa ni mwaka 2017... Sitosahau.

Nikiwa ndani kwa mtu na mke wake.. Jamaa hakuwa mji ule kabisa alikuwa kikazi mji mwingine. Lakini hammad ghafla tukasikia sauti za honi ya gari getini ikimaanisha kuwa msela ameshafika.... Yule mama alikwenda kufungua geti nikiwa nimejificha nyuma ya friji nikisali maombi yote.

Mara mprado huo ndani mzee kaingia..

Daah kumbe alisahau simu mfuko wa mbole katika duka flan huko mjini, ikabidi awashe tena gari arudi kuchukua kwa ajili ya matumizi ya kesho.

Nafkiri mbio nilizotoka nazo pale Ni zaidi ya BOEING 787. Na ikawa mwisho wa kudate na Iile shuga mamy. Hakika mzee angenikamata Ningekufa tu.

Acheni wake za watu hata wakijirahisisha.

Ila jaman MUNGU ANAJIBU MAOMBI kwa aombae kwa dhati.
Nimengi mpaka nashindwa simulia. Ila sijasahau wakati mmoja sina kazi nilipita eneo nikanuwia na Mungu alisikia nika ajiriwa ktk ile kampuni
 
Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,818
2,000
Hebu funguka kidogo mkuu
Tuliiingiliwa na majambazi yenye silaha nilikua naomba ki moyo moyo kwa kweli ile sala ilisaidia kwa sbb walichukua vitu ambavyo sio vya mihimu sana japo mwanzo walishatutishia na kutaka kutucharanga na panga na mwingine alikua na bastola sasa sijui ilikua na risasi ama laa ila naaamini ile sala ilibadili kila kitu namshuru sana Mungu.
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
3,676
2,000
mimi ilinitokea nilipewa mtihani mgumu kweli kweli chuoni sikujua naanzia wapi nikamwomba mungu nikasikia sauti inaniambia tizama ubaoni nikaona notisi za majibu yote ya maswali zimeandikwa ubaoni nikawa nanyanyua kichwa naangalia ubaoni nakopi kama ilivyo hadi msimamizi wa mitihani akawa ananikodolea macho ananishanga shangaa nikaibua na A KWENYE HILO SOMO

NILIPOMALIZA KUANDIKA YAKAFUTIKA YENYEWE
Liongo ww
 
secret file

JF-Expert Member
Sep 10, 2019
3,676
2,000
Napenda hizi shuhuda ila naomba mnisaidie, unamuombaje Mungu akusaidie mdeni/wadeni wako wakulipe hela zako. Hii inanipa stress sana, nachukia sana mtu unamdai and he doesn't bother at all, tena anaweza kukutupia maneno ya kashfa na kuudhi.
Ukidai deni hupewi hela ukipotezea watu wanakulipa chukua hii kanuni utanishukuru badae
 
bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,633
2,000
so mzee hajui mpaka leo?vipi life la uganda?
Mzee wangu alikua ana niamini sana hakua na shaka na mimi pia alikua busy na biashara mda mwingi alikua ana safiri kwahio haikua rahisi kufahamu matukio yangu, life la kule nna story ndefu kidogo ila ime jaa mafunzo unfortunate uandishi wangu mbovu sana hua nashindwa kuandika mtu asome aelewe mpangiluio kuandika napata tabu
 
Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
6,147

mzee wako aliwekeza sana kwenye elimu.vipi umefikia wapi?
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,333
2,000
Kuna muda bwana unaweza ukabanwa na mambo magumu katika maisha, na ukashindwa njia zote hatimae ukaamua kumuomba Mungu moja kwa moja na akakujibu?

Mimi kuna matukio kadhaa aisee naamini moja kwa moja Mungu ndiye alinisaidia.

1. Kukingwa na mvua kubwa
Mnamo mwaka 2008 nilikuwa katika moja ya shughuli za utafutaji katika Kijiji kimoja kinaitwa MKANYAGENI huko Tanga. Tulikuwa katika mapori fulani huko tukichana mbao. Lakini siku mbele baadae nilianza kuumwa na homa kali Sana. Jamaa zangu wakaamua kuniruhusu na kurudi mjini ili nisije nikawafia kule.

Safari ilikuwa Ni ndefu na ni ya mguu, nilitembea kilomita kadhaa na hatimae nikashindwa kabisa kutembea kutokana na kuishiwa nguvu.

Nikiwa nimekaa chini sijui cha kufanya, angani ilitanda mvua moja kubwa Sana, dakika chache baadae ikaanza kunyesha. Pale nilipo hapakuwa na nyumba wala sehemu yoyote ya kujizuia na mvua.

Kiukweli niliamua kumwambia Mwenyezimungu kana kwamba naongea na mtu. Nikasema "Ewe Mwenyezimungu, nakuomba uizuie mvua hii mpaka ntakapofika mjini kwani Kama ikininyeshea hapa hakika sitoweza hata kutembea"

Basi mvua ile ilikata na nilijikongoja mpaka kufika pale MKANYAGENI majira ya saa 2 usiku tangu saa 10 jioni.

Nilipofika tuuuu, aisee mvua iliachiwa sijapata ona... Daaah nkasema kweli Mungu yupo.

2. Chakula cha hapo kwa hapo
Mwaka 2015, siku moja nikiwa sina hata mia mbovu. Mipango yangu yote imepinda. Njaa inaniuma sijakula siku nzima mpaka nikafikia hatua ya kulegea kwa njaa.

Niliamua kumwambia Mungu nisaidie, nitakufa na hii njaa mimi mja wako.

Nilitoka kuelekea nisikokujua, lakini baada ya dakika kadhaa niliamua kurudi tu geto.

Aisee kitu cha kushangaza WALLAAHI nilimkuta mtoto wa jirani pale mlangoni kwangu akinisubiri na akiwa ameshika bakuli ya wali.. kwa kudai kuwa amepewa na mama yake aniletee... Nilishangaa Sana maana huyo mama wala Sina mazoea nae wala HAKUWA jirani wa karibu...

Nkasema kweli Mungu amejibu maombi. Asante sana Mungu.

3. Kuokoka kufumaniwa na mke wa mtu

Hii ilikuwa ni mwaka 2017... Sitosahau.

Nikiwa ndani kwa mtu na mke wake.. Jamaa hakuwa mji ule kabisa alikuwa kikazi mji mwingine. Lakini hammad ghafla tukasikia sauti za honi ya gari getini ikimaanisha kuwa msela ameshafika.... Yule mama alikwenda kufungua geti nikiwa nimejificha nyuma ya friji nikisali maombi yote.

Mara mprado huo ndani mzee kaingia..

Daah kumbe alisahau simu mfuko wa mbole katika duka flan huko mjini, ikabidi awashe tena gari arudi kuchukua kwa ajili ya matumizi ya kesho.

Nafkiri mbio nilizotoka nazo pale Ni zaidi ya BOEING 787. Na ikawa mwisho wa kudate na Iile shuga mamy. Hakika mzee angenikamata Ningekufa tu.

Acheni wake za watu hata wakijirahisisha.

Ila jaman MUNGU ANAJIBU MAOMBI kwa aombae kwa dhati.
Awaondoe madikteta wote Africa, Nzinza, jiwe la chatto na wengine.

Nzinza tayari, jiwe naona linakohoa, Ni suala tu la muda
 
Dadii

JF-Expert Member
Nov 14, 2010
319
500
Mie mara zote maisha yangu ni majibu tu ya Mungu hapa nilipo ni mwaka wa pili toka 2018 sina kazi ni mke na watoto watatu....ila hatujawahi kukosa mlo hata siku moja ni lakaa 3 daily.
Japo sio mlo kama ule wa zamani lkn tunapata.
Sio maisha mepesi kivile lkn tunamshukuru Mungu hata magonjwa yamepungua hakuna cha malaria wala tumbo?

Kuna kipindi nilikuwa sina kazi nilituma maombi mpaka wife akachoka kunipelekea posta office.

Sikukata tamaaa aisee niliendelea kumuomba Mungu hukunikiomba kazi mbalimbali aisee zilikuja fumuka kazi kama 5 hivi zote natakiwa nikapige interview moja sikupiga kabisa wakampa subcon aongee namini nikakataa maana salary yao niliona ndogo.

Basi wakatafuta subcon mwingine wakamwambia huyu jamaa tunamtaka jamaa wakanichukua kwa dau langu....!

Ya serikalini ndio nikuwa naitaka nikaikosa,wengine kama azam media nilipiga chini,tumbaku moro, nk...!

Kikubwa nikuomba Mungu huku unaplay part yako,kama mtaani ingia pambana,kama washikaji ndio michongo yako ilipo nenda nao sambamba nk Mungu anasikia na anajibu kwa wakati wake....!

Kila mtu ana nafasi sawa mbele za Mungu makanisani na misikitini tunaenda kufuata miongozo,tunakumbushwa,tunaonywa nk lkn hakuna maombi yaliyo bora kama yako mwenyewe badala ya kutaka kuombewa kila siku kwa wachungaji au mashehe.

Jinyenyekeze mbele ya Muumba wako lia ikiwezekana ikane nafsi yako hakika Mungu si kiziwi atajibu tu Maombi yako either sasa,baadae nk anajibu atakavyo yeye wala usimlaumu.

Na sie sote Mungu keshawahi tujibu kwa nyakati tofauti ila tunajisahau tunazani ni kwa uwezo wetu badala ya kufuata njia zake tunaenenda kwa njia zetu hata sadaka ya shukrani tunasahau kumtolea.

Nakumbuka nilipata 6M ktk madai yangu baada ya kumuomba sana Mungu hapo ni madeni lukuki, tunawaza na mwenza wangu mie nataka tutoe shukrani yeye anataka tutoe fungu la kumi. Mie shukrani nataka nitoe hata 2k yeye fungu la kumi 6K patamu hapo vimeo vya madeni vimeaimama wima hata 6M haitoshi...!

Nikampa ushindi maana ile hela alinisusia,baada ya kumpa yote akatoa fungu la kumi akalipa madeni tukawa bankrupt.

Pambana sana sana huku tukimuomba Mungu life likawa gumu kama chuma cha pua madeni hayajaisha ila kula tunakula japo kwa msuli,madogo wako private school nakoma tu maana sitaki waende kayumba...! kudadeki...

Uza gari,lipia vimeo,bado ngoma ngumu,uza ardhi madogo wakaingia school....! tena, maana niliwatupa seminari huko mikoni,..! mie nipambane mjini na mama yao mara paaaap covid_19 anza tafuta nauli warudi town.

Juzi alimanusra niuze tena sehemu maana madeni yanaandamana baada ya corona,unajua nini Mungu ni mwaminifu kanipa shavu sehemu nimeghahiri hata kuuza maana nilikuwa nipate si chini ya 10M.

But sikujiandaa kisaikilojia jinsi ya kuitumia zaidi ya kulipa madeni,now najiandaa ku utilize eneo langu kwa biashara bustani za mbogamboga!

Msichoke kuomba hata kama huoni mwanga mie nimeuona utukufu wake ktk nyakati nyingi sana!
Tatizo letu moja tunafail kumrudishia utukufu wake lazima utafail tu kama unamtegemea yeye maana anakuhitaji uwe mfano kwa wengine ila kama humtegemei yeye basi utafaikiwa ama kufail kutegemea na principle zako.

Nakipata mshiko lazima nikatoe sadaka kwa matendo mema aliyonijibu maaana sio kwa lumba nililopitia.....!

week ya pili sina sina issue job naenda hata nauli na msosia wa mezani kwa kweli ni utukufu wake tu hata ikiwa ni kqa kukopa maana ntakaa sawa tu hapa nina counter book maisha yajayo mipangu lukuki.

Tuendelee Kumuomba Mungu,kumsifu na kumshukuru.....haya mambo matatu muhimu sana....!

Shuhuda ninazo kibao hapaaa rafiki yangu alikuwa ananiombea siku akasema nimekuombea sana umefanikiwa unaleta sharau nikamjibu hata mie nilikuwa naomba akasema sitakuombea kamwe imagine hapo huna kazi,nikasimama ktk imani yangu nikamuomba Mungu kwa dhati na kukimbizana na michongo ndio hivyo kajibu....!

Sitaki hata kumuuliza ulikataa kuniombea kwani vipi mbona kanijibu?

Sifa na utukufu ni yeye aliyeziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo.....!

Thanks Almighty God for everything you did in mylife no one no one like you ni wewe pekee unayetakiwa kuabudiwa na kushukuliwa....!

Twendeleze mombi wadau tufanikiwe kimasihara,ukiona ujajibiwa kuna mtu buza mpalamba kajibiwa relax your time will come...!

Dadii.
 
kalovha

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
760
1,000
Kuna muda bwana unaweza ukabanwa na mambo magumu katika maisha, na ukashindwa njia zote hatimae ukaamua kumuomba Mungu moja kwa moja na akakujibu?

Mimi kuna matukio kadhaa aisee naamini moja kwa moja Mungu ndiye alinisaidia.

1. Kukingwa na mvua kubwa
Mnamo mwaka 2008 nilikuwa katika moja ya shughuli za utafutaji katika Kijiji kimoja kinaitwa MKANYAGENI huko Tanga. Tulikuwa katika mapori fulani huko tukichana mbao. Lakini siku mbele baadae nilianza kuumwa na homa kali Sana. Jamaa zangu wakaamua kuniruhusu na kurudi mjini ili nisije nikawafia kule.

Safari ilikuwa Ni ndefu na ni ya mguu, nilitembea kilomita kadhaa na hatimae nikashindwa kabisa kutembea kutokana na kuishiwa nguvu.

Nikiwa nimekaa chini sijui cha kufanya, angani ilitanda mvua moja kubwa Sana, dakika chache baadae ikaanza kunyesha. Pale nilipo hapakuwa na nyumba wala sehemu yoyote ya kujizuia na mvua.

Kiukweli niliamua kumwambia Mwenyezimungu kana kwamba naongea na mtu. Nikasema "Ewe Mwenyezimungu, nakuomba uizuie mvua hii mpaka ntakapofika mjini kwani Kama ikininyeshea hapa hakika sitoweza hata kutembea"

Basi mvua ile ilikata na nilijikongoja mpaka kufika pale MKANYAGENI majira ya saa 2 usiku tangu saa 10 jioni.

Nilipofika tuuuu, aisee mvua iliachiwa sijapata ona... Daaah nkasema kweli Mungu yupo.

2. Chakula cha hapo kwa hapo
Mwaka 2015, siku moja nikiwa sina hata mia mbovu. Mipango yangu yote imepinda. Njaa inaniuma sijakula siku nzima mpaka nikafikia hatua ya kulegea kwa njaa.

Niliamua kumwambia Mungu nisaidie, nitakufa na hii njaa mimi mja wako.

Nilitoka kuelekea nisikokujua, lakini baada ya dakika kadhaa niliamua kurudi tu geto.

Aisee kitu cha kushangaza WALLAAHI nilimkuta mtoto wa jirani pale mlangoni kwangu akinisubiri na akiwa ameshika bakuli ya wali.. kwa kudai kuwa amepewa na mama yake aniletee... Nilishangaa Sana maana huyo mama wala Sina mazoea nae wala HAKUWA jirani wa karibu...

Nkasema kweli Mungu amejibu maombi. Asante sana Mungu.

3. Kuokoka kufumaniwa na mke wa mtu

Hii ilikuwa ni mwaka 2017... Sitosahau.

Nikiwa ndani kwa mtu na mke wake.. Jamaa hakuwa mji ule kabisa alikuwa kikazi mji mwingine. Lakini hammad ghafla tukasikia sauti za honi ya gari getini ikimaanisha kuwa msela ameshafika.... Yule mama alikwenda kufungua geti nikiwa nimejificha nyuma ya friji nikisali maombi yote.

Mara mprado huo ndani mzee kaingia..

Daah kumbe alisahau simu mfuko wa mbole katika duka flan huko mjini, ikabidi awashe tena gari arudi kuchukua kwa ajili ya matumizi ya kesho.

Nafkiri mbio nilizotoka nazo pale Ni zaidi ya BOEING 787. Na ikawa mwisho wa kudate na Iile shuga mamy. Hakika mzee angenikamata Ningekufa tu.

Acheni wake za watu hata wakijirahisisha.

Ila jaman MUNGU ANAJIBU MAOMBI kwa aombae kwa dhati.
Mengi Tu...
 
bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,633
2,000
mzee wako aliwekeza sana kwenye elimu.vipi umefikia wapi?
kwakweli simudai upande wa elimu alitimiza wajibu wake nlisoma mpka nikamwambia nmetosha bahati mbaya nli anza kazi October 20 mzee akafariki Dec 16 ikanilazimu niache ajira njkaenda kusimamia biashara ambazo mpka sasa tuna endelea
 
Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
304
250
Taarifa ya ajari ambayo ilionye kifo kimesogea sana.
Ndipo nilimtaka Mungu aingilie kati na mapenzi take yatimizwe.
Ghafla nikasikia sauti ikijibu hakika hiyo ni ajari unagogwa na gari hiyo na unagongwa ila jipe moyo wa imani nitakulinda hutakufa ingawa utakanyangwa na kuvunjwa mguu wa kushoto hivyo ndivyo ilikuwakama sinema kwenye ufahamu kama ndoto na dk 2 hazikufika ikawa imetokea
Ilikuwa 4 May 2018 saa 14:25 pm
 
Diana Spencer

JF-Expert Member
Nov 14, 2018
3,622
2,000
Taarifa ya ajari ambayo ilionye kifo kimesogea sana.
Ndipo nilimtaka Mungu aingilie kati na mapenzi take yatimizwe.
Ghafla nikasikia sauti ikijibu hakika hiyo ni ajari unagogwa na gari hiyo na unagongwa ila jipe moyo wa imani nitakulinda hutakufa ingawa utakanyangwa na kuvunjwa mguu wa kushoto hivyo ndivyo ilikuwakama sinema kwenye ufahamu kama ndoto na dk 2 hazikufika ikawa imetokea
Ilikuwa 4 May 2018 saa 14:25 pm
Pole mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom