Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲.
Vifurushi vipo Malawi wanacho cha wiki 4gb ni 2000 malawi kwatcha kama 3500 Tsh aisee kwanza hawazimi data wale jamaa na vifurushi havikimbii ukikaa siku tano kwa 4gb unashangaa ukiwa mpakani kasumulu ukague imebaki ngapi unakuta umetumia 2gb ila ukiingia Tanzania na kifurushi cha gharama hiyo hiyo unafika Mbeya unapewa hizo 75% ya matumizi...nadhani haya makampuni sehemu yanayoiba kirahisi sasa hivi ni data waziri na TCRA yao hawapo kwa ajili ya wananchi..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.