Mambo ambayo yanatuangusha Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ambayo yanatuangusha Watanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimali, Feb 7, 2011.

 1. U

  Ulimali Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  1.Kukosa viongozi wenye kuweza kutengeneza dira (Focus) bila kuwa na maono huwezi kupanga mikakati ya kwenda kwa sababu hujui unakwenda wapi.
  2.Kutokuwa na vipaumbele(stategic areas to stimulate development) kunakopelekea kila kitu kuwa ni kipaumbele huwezi kufanya kila kitu kwa wakati mmoja kutokana na limited financial resources.(visiwe zaidi ya vipaumbele vitano) napendekeza nchi yetu iwe na vipaumbele vifutavyo i). nishati -nishati inagusa kila sekta inahitaji nishati ya uhakika ii).Elimu-bila elimu hakuna kitakacho kwenda iii) Barabara iv) Bandari na v) afya
  3.Nidhamu ya matumizi ya rasilimali za uma na utendaji kazi ianzie kwa Kiongozi wa Nchi kwenda chini na si ianzie kwa watumishi wa chini kuelekea juu hii haitafanya kazi.Kwa mfano Rais akianza yeye kutumia magari ya landrover yenye bei ndogo unadhani nani wa chini atakenda kunua ma VX iwapo rais anatumia landrover.
   
 2. Halfcaste

  Halfcaste JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 973
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Hata hivo umejitahidi
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Katiba ya Umma ndio tatizo kubwa. Mengine yanafuata tu.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  gud ideas
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Nakuunga Mkono sana Mkuu wa Uchambuzi wako,
  lakini pamoja na hayo yote, Tatizo kubwa la Tanzania Lipo katika Wizara mama, WIZARA YA SHERIA NA MAMBO YA KATIBA,
  yaani hii wizara ingefanya kazi kama ipasavyo nadhani hii nchi ingenyooka

  Viongozi wanajua vipaumbele ni vipi na wanachikifanya ni kujimilikisha hivyo vitu ambavyo vingechochea maendeleo ya Nchi
  Hiyo bandari wanajua kabisa ni muhimu sana kwa maendeleo ya Watanzania na ndio kisa cha kujimilikisha Tics

  Kwa dunia ya Sasa huwezi kuwa na maendeleo ya kweli kama huna umeme wa kutosha kuendesha maisha, wana lijua hilo na ndio wameingia kutuumiza humohumo

  SHERIA ZILITAKIWA ZIFANYE KAZI KAMA WATU WALISAINI MIKATABA MIBOVU WANGEKAMATWA NA KUFUNGWA PAMOJA NA KUTAIFISHWA, KWESHO HAKUNA MTU ANGEFANYA UJINGA
   
Loading...