tatizo zana hakunaAsante sana mkuu! Information nzuri kweli... Unajua wengi wetu tunafurahia tu movie ya titanic ila nikifikiria sasa kua watu wengi hivyo walipoteza maisha, inauma sana...
Yaani hiyo Mv Bukoba ata sijui ilikuaje... Hatuna utamaduni wa kutunza historia. Sijui kwanini watanzania hawachukui fursa ya kutengeneza movies za matukio kama MV bukoba, vita na Uganda!!! Tungeuza sana...
Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.
Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
Vitakuwa vya mpira wa miguuUmesema ilikuwa kubwa kama viwanja 2 vya nn hapo hujamalizia
Nimependa mtazamo wako. Mimi ni wa fani hiyohiyo na nimeshafikia rank ya Master au Captain na kuhusu hiyo ya Mv Bukoba ukiambiwa chanzo chake unaweza kupanda juu ya mti na usishuke hadi mbwa wa polisi waje. Ila hapa kwetu tuna tatizo la kupika matokeo ya tafiti mbalimbali ili au kuendana na hali halisi au kwa maslahi ya kisiasa. Katika sababu zinazotolewa kuhusu kuzama kwa meli ile hakuna hata moja sahihi na sijasikia hata mtu mmoja akiitaja sababu yenyewe hasa. Sie tunajua lakini kwa zama hizi ukizisema tu nina uhakika uatitwa MCHOCHEZI na kuishia pabaya sanasisi hata idadi ya waliofariki kwenye mv bukoba bado ni makadirio tu hakuna hata project moja iliyofanywa kwenda kuitafuta hiyo meli au kuwekwa hadharani mahali ilipo zamia mv bukoba kulitokea nini japo kwa majibu marahisi tunaambiana ni kujaz mizigo,abiria na meli kuwa mbovu,lakini report za kitaalamu tumekaanazo maofisini ndomana unaweza kuwa mtaalam wa kiwango ch phd bongo lakini bado ni bashite tu,sababu hatupendi kutafuta ukweli ila tunapenda kudeal na effects na kuzitolea ushuhuda basi
Mkuu ebu nyambuka vizuri naona una jambo la msingi sanaSababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.
Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
Yaaaa hasa pale jack alivokua anazama vichekesho tuMovie yake ina sikitisha lakini ukipna behind the scene yake utacheka balaa. Wameichezea kwenye swimming pool tu
Bora usingeandika haya yote,,Nimependa mtazamo wako. Mimi ni wa fani hiyohiyo na nimeshafikia rank ya Master au Captain na kuhusu hiyo ya Mv Bukoba ukiambiwa chanzo chake unaweza kupanda juu ya mti na usishuke hadi mbwa wa polisi waje. Ila hapa kwetu tuna tatizo la kupika matokeo ya tafiti mbalimbali ili au kuendana na hali halisi au kwa maslahi ya kisiasa. Katika sababu zinazotolewa kuhusu kuzama kwa meli ile hakuna hata moja sahihi na sijasikia hata mtu mmoja akiitaja sababu yenyewe hasa. Sie tunajua lakini kwa zama hizi ukizisema tu nina uhakika uatitwa MCHOCHEZI na kuishia pabaya sana