Mambo ambayo uyajui kuhusu meli ya RMS TITANIC

Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.

Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
Yaah nikwel kuna sintofaham nyingi sana
 
Safii sana mkuu. Mita 265 ni parefu sana aisee. Upana wake, pia urefu kutoka chini mpaka juu? Shukrani sana.
 
Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.

Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
sawq mkuu lakin hyo ipo nyuma ya pazia lakin ulifuatilia vyanzo mbali mbali zinasema wakiookolewa wengi ni first na second class na ndo walikuwa matajiri..third class wengi walofungiwa mara ya kwanza ndo ikasababisha wengi wao kufa
 
Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.

Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
Conspiracy theories
 
Ngoja niingie chimbo nikapate fact zaid...umenitamanisha kuifaham kiundan titanic
 
Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.

Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
Poor theories! Sio kila kitu ni conspiracy jamani!
 
Back
Top Bottom