Mambo ambayo uyajui kuhusu meli ya RMS TITANIC

pipikijiti

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
309
406
Ni meli kubwa ya kihistoria iliyotengenezwa miaka ya 1912 na kufanya kazi kwa siku tano tu toka izinduliwe.najua unaijua ila nataka nikujuze zaid.

-Ilikuwa na urefu wa mita 265 kwa lugha nyepesi ni kama viwanja viwili na nusu na zaidi
c52715b9a0b4cbc08fbc0894ec0a2669.jpg
f588223c214381d18540df9987c88e46.jpg


- Ilikuwa inatumia tani 600 za makaa ya mawe kwa siku yan kwa lugha nyepes ni kama semi trela 30 na ambapo majivu tani 100 kila siku yalimwagwa baharin na akihitaji watu 176 kwa ajiri ya shughuli ya kuweka makaa ya mawe
fa837c3dd97505b54c3c253ea1a9b862.jpg


-ilitengenezwa kwa muda wa miezi 26 ambapo kulitokea na majeruhi 246 na vifo viwili katka kipind chote
4ab20d566d2b558e6ec5de390554f3c6.jpg


- kati ya wafanyakazi 885,,,,,,23 tu walikuwa wakike
- mbwa walikuwa 9 ila wawil waliokolewa
abf6ebdb06ba6ffb67d2d29e1e7fc879.jpg

- Mwaka 1898 yan miaka 14 kabla ya ajali kuna kitabu kilitungua kiliitwa 'unsinkable' ambacho kiliadithia kuwepo kwa meli kubwa ambayo baadae ikigonga mwamba wa barafu na ile hadithi kwa asilimia 80 iliendana na kilekilichotokea kwenye titanic..mpaka leo kuna watu wanajiuliza kuna huusiano gan kati ya kile kitabu na meli ya titanic
4b9d19acdf996804d9b0450260f72fb5.jpg


-Tarehe 16 april 1912 yan siku moja baada ya kutokea kwaajali hyo,gazet la 'THE BRITISH NEWSPAPER' ililipot titanic imezama lakini hamna mtu aliekufa...(ila ni kwa kutokuwa na taarifa kamili)
a01584991e5ae3e73a1923fff324f5d9.jpg


- Edward smith ndo alikuwa kaptain mkuu wa meli hiyo na ndo ilikuwa safari yake ya mwisho ili astaafu kazi hiyo lakin alizama chin na meli
0c17d45af17a2b36f15196a4d24bca16.jpg


- inakadiliwa kaptain alieripoti mwamba ule, angewahi kulipoti sekunde 30 tu kabla alivyolipot ajali isingetokea

- life boat nying za kuokoa watu zilibeba watu pungufu ya uwezo wake..kuna moja ilibeba 12 ambapo ilikuwa na uwezo wa kubeba watu 40 kutokana na kugombania
43429ac9006d841fbec235aa5002c919.jpg


-baada ya kuzama tarehe 15 april 1912 meli ikapatikana miaka 73 baadae
5ae391b5640cd28d06f913a6f7198f3e.jpg
677704f4b6414538c5f745c50ca947bd.jpg
341806da6ba7d770c08aea89597cd8d6.jpg


- miili 336 pekee ndo ilipatikana kati ya miili 1514 ya waliofariki
295e750fbc434923a6fb38a79cce835f.jpg


- iligonga mwamba saa tano na dakika arobain usiku na ikazama baada ya masaa 2 na dakika 40

- meli ya californian iliitangulia meli ya titanic kwa masaa kadhaa lakin ilisimama baada ya kuona hali ya bahari sio nzuri...lakini titanic ikaipita califonian..na californian ikatuma jumbe za taadhari kwa titanic lakin titanic wakazipuuzia kwakuamin titanic ni 'unsikable'

- baada ya mda titanic ilipopata ajali ikatuma jumbe za msaada kwa carlifonian lakin kwa bahat mbaya mtu wa kushughulikia mawasiliano usika alikuwa ameshalala ambapo meli hyo ingeokoa mamia ya watu

- ndo siku anazaliwa mwanzilishi wa taifa la korea kaskazin kim II sung
b01a6ee0014bc89dc64e7974141a5dfd.jpg


- ndio meli pekee iliyozama kwa kugonga mwamba wa barafu mpaka sasa

- kati ya watu 711 waliookolewa, wanaume walikuwa pungufu ya seruthi

-mhanga wa mwisho wa ajali hiyo alifariki mwaka 2009 may 31,akiwa na umri wa 97 na alikuwa na umri wa miezi miwil tu wakat wa ajali

- sheria nyingi za usalama wa watu bahari zilianzishwa baada ile ajali..

mwishoni napenda kutoa changamoto kwetu hapa nyumbani tz hatuna utaratibu wa kuweka kumbukumbu za vitu kama hivi kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyo..mi kiukwel ukinambia kuhusu mv bukoba ajali yake siijui vizuri maana nahisikia juu juu tu...hata kwa upande wa michezo..leo hii ningependa kusikia mbwana samata amevunjwa rekodi iliyowekwa na nchezaji fulan mwaka 1970 kwa kufunga mabao mengi kwenye timu ya taifa lakin hakuna.asanten kwa kunisoma
 
Umesema ilikuwa kubwa kama viwanja 2 vya nn hapo hujamalizia
 
Sababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.

Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom