ha ha nadhan pale walitaka kunogesha kwasababu hakuna ushaidi unaosema kwanini walichelewa kuona ule mwambaIla wamejua kutuongopea.eti walinzi walikuwa wako bize kuwaangalia jack na rose.wakajisahau kushtuka mwamba huu hapa.
duuuhusiende mbali historia ya kilwa tu.kwamba ulikuwa mji mkubwa sana hata kuwa dola iliyo tumika sehemu kubwa upande wa afrika.na hata wafanya biashara wakubwa walifikia kilwa .lakini leo kilwa ni kama jina
mi hata nikipata nafas ya kupanda ntaogopa hahakuna replica ya hii meli ya titanic inazinduliwa mwakani... inafanana kwa kila kitu
Ukiangalia ile movie, huwezi kukumbuka upupu wa Bongo movieMovie yake inasikitisha sana.
Ukifanikiwa ucsahau kutuhabarishaNgoja niingie chimbo nikapate fact zaid...umenitamanisha kuifaham kiundan titanic
haha na ile movie ni kat ya movie zilizotumia bajet kubwa sana dunian($200 milion) na iliingiza mapato makubwa sana (zaid ya $2 bilion yaliyoonga dunian kwa mda mrefu kabla ya movie ya avatar kuja kuvunja rekod hyo...na movie zote hzo zimedirectiwa na direct mmoja ambae ni james cameroon na zimempatia heshima kubwa sana ndani ya holywoodUkiangalia ile movie, huwezi kukumbuka upupu wa Bongo movie
Halafu hawa wa udaku wa bongo movie wanatumia bajeti ya milioni moja tu wanatulazimisha tununue gesi zao hizihaha na ile movie ni kat ya movie zilizotumia bajet kubwa sana dunian($200 milion) na iliingiza mapato makubwa sana (zaid ya $2 bilion yaliyoonga dunian kwa mda mrefu kabla ya movie ya avatar kuja kuvunja rekod hyo...na movie zote hzo zimedirectiwa na direct mmoja ambae ni james cameroon na zimempatia heshima kubwa sana ndani ya holywood
ha ha ha yan movie unajua kabisa hapa gari halijamgongaHalafu hawa wa udaku wa bongo movie wanatumia bajeti ya milioni moja tu wanatulazimisha tununue gesi zao hizi
ni kwel mv bukoba tunaijua kwa ufinyu wakat ajali hyo ilitokea miaka ya 1996 hv yan inaweza kuwa na miaka 20 tu toka ajali lakn titanic imetokea zaid ya miaka 100 na wabongo wengi wanaijua kuliko hata hii mv bukoba ya juz juz tuAsante sana mkuu! Information nzuri kweli... Unajua wengi wetu tunafurahia tu movie ya titanic ila nikifikiria sasa kua watu wengi hivyo walipoteza maisha, inauma sana...
Yaani hiyo Mv Bukoba ata sijui ilikuaje... Hatuna utamaduni wa kutunza historia. Sijui kwanini watanzania hawachukui fursa ya kutengeneza movies za matukio kama MV bukoba, vita na Uganda!!! Tungeuza sana...
Conspiracy theory... hata September 11 inasemwa ilifanywa na wamarekani wenyewe ili ku-enforce new world orderSababu za kuzama kwa titanic zina utata mwingi na haikugonga mwamba kwa makosa ila ulikuwa ni mpango mahususi kwa ajili ya kuondoa kundi flan la watu walikuwa na nguvu kipesa ila walikuwa kikwazo cha watu wengine kufanya mambo flani, lakini kuna tafiti zimefanyika kunzia sababu za kutengeneza hiyo meli, mwenendo wa safari zake na hadi mwisho wake.
Ukitizama baadhi ya documentaries zionaonyesha kwamba ile meli ilitengenezwa ili kuwaua matajiri waliokuwa kikwazo cha uanzishaji wa federal reserve of America. Na baada ya kufanikiwa kuwaua mpango ukaenda sawa na Federal reserve ikaanzishwa pamoja na mambo mengine lukuki.