kuku ndiyo mnakula lakini waliochinjwa mwakajuzi!
na ndio maana kuna mashoga wengi pia
Mna wivu tu nyie. Mnakula misosi iliyoshinda wazi. Vumbi lote linaishia hapo.
Kuna siku jamaa limepiga chafya, kamasi zote zikaangukia kwenye mishikaki. Mijasho yote inachuruzika, na wewe unakula.
Heri mie ninaweka jiko langu mwenyewe nyumbani na najichomea Marehemu ng'ombe.
Ona sasa hawa wanakula nyama zilizorundikwa kwenye magazeti, hivi hamjui magazeti wanatumia Risasi (lead) ku-print na hiyo risasi ni sumu mbaya sana? Kansa hiyoo inapiga hodi, wala vumbi nyie. Nyani Ngabu .
![]()
Hilo zege la chips mayai limeniharibia siku!!
![]()
Shughuli uzeeni!..Hapo sasa.
una inda eeeeh!!!?
Hii inaitwa kukukukutu, thanks but no!Hatumiss kitu chochote, LONG LIVE KFC..... Marehemu Kuku wanatukoma 🙂
![]()
![]()