Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Nani alikuambia wafu wanakufa?.

Fuatilia na wale akina PLO Lumumba Jnr na Patrice Lumumba, akina Plato, Martin Luther King Jnr, Marcus Ganvery, Tesla, na Wanafalisafa wengine uone kama historia zao hazilandani!.

Asante Mkuu ngoja nijaribu kufatilia "anything suspicious" i will let you know.
 
Chanzo cha Finger Print ni hawa jamaa waliofanana Majina hadi Sura
1485344351454.jpg
 
Hiyo namba5 kwa hiyo Hitler aliishi miaka mingapi? Halafu hii namba9 Hii Dah! poa lakini.......
 
e2a51f7de2a2548abbf0cce78465e09d.jpg
ecd160c12de42244fe5e1cf3b5e2cbd4.jpg
Enzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)
Umeona Mkuu,,, ahahahha ni hatari sana
 
e2a51f7de2a2548abbf0cce78465e09d.jpg
ecd160c12de42244fe5e1cf3b5e2cbd4.jpg
Enzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)

Harafu kuna story moja very interesting kuhusu Ferrari na Lamborghini.

Jamaa alitengeneza Lamborghini, bwana Ferrucio, kabla hajaanza kutengeneza magari alikuwa mtengeneza matrekta, lakini alikuwa anamiliki Ferrari Mbili. Ferrari yake ilikuwa inasumbua clutch, jamaa badala ya kuanza kulalamika ilibidi ajaribu kutumi clutch ya kwenye trekta kuitengeneza hiyo Ferrari, alipo ona imekuwa fresh, akaona sio tabu ngoja nikawape hii idea watengeneza magari ya ferrari ili waweze kuboresha gari zao, lakini Bwana Enzo Ferrari akagoma kabisa kuongea naye na kusema huyo kazoea matrakta haya mambo ya magari hayawezi. Jamaa kuona hivyo akachukia sana akaona atengeneze gari lake mwenyewe na kulipa jina la Lamborgin. Tokea kipindi hicho mpaka leo market competition kati ya Ferrari na Lamborghini ni hatari.

Huwenda kama Enzo Ferrari angekubali kuongea na Ferrucio basi tusingekuwa na magari aina ya Lamborghini.
 
Back
Top Bottom