Mambo 4 yanayoangusha uongozi wa Rais Samia

Hivi udikteta unautambua vyema mkuu?
Kwanza Demokrasia imeshamiri kuliko wakati waowote nchini,
 
Ila kumtetea huyu mama inatakiwa uwe na unafiki na kujitoa fahamu kwa hali ya juu sana.
 
kwa ujumla hakuna binadamu alie mkamilifu na haiwezekani kiongozi mahiri na madhubuti akapendwa na wanainchi wote 🐒

hata hivyo,
nikupongeze kwa kukiri na kutambua kazi kubwa na nzuri sana inayofanywa na kiongozi wetu huyu shupavu na madhubuti sana comrade, Rais Dr Samia Suluhu Hassan, ambae waTanzania wengi wanampenda sana na wanafurahia matunda ya kazi za mipango yake mizuri sana kijamii, kisiasa na kiuchumi 🐒

Ni dhahiri, kasoro, dosari au changamoto katika utendaji haiepukiki. Lakini mambo mengi makubwa na mazuri sana yamefanyika na yanaonekana bayana mchana kweupe 🐒

Tathmini, masahihisho na marekebisho kwenye mistakes za kiutendaji kwa bahati mbaya, makusudi, tamaa au uzembe inafanyika kila mara na hatua za kinidhamu na kisheria zinaendelea kufanyika kila uchwao 🐒

Muhimu zaidi ni subra na ustahimilivu...

we need organized and vibrant opposition to check and challenge govt programs and projects, but in case of Tz, opposition is dead 🐒

Eid Mubarak 🌹
 
Na wakifa wao??? Au wazuri hawafi???
 
Hivi udikteta unautambua vyema mkuu?
Kwanza Demokrasia imeshamiri kuliko wakati waowote nchini,

Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Ambacho huwa kinatokea, ni wakati fulani kuwa na hali ya unafuu, na wakati mwingine hali kuwa mbaya zaidi.

Huwezi kuwa na demokrasia wakati una katiba na sheria za kidikteta.
 
Kuuzwa Bandari na ardhi ya Wanasai wewe unaona sawa tu?? Hayo mazuri aliyoyafanya kuliko Jpm yameshindwa nini kuondoa Wala rushwa, mikopo umiza nchi, na kukwepa mchakato wa katiba? Sasa kumbe hayo mazuri ya Samia ni yepi? Au kwa sababu ulilenga kumtaja mzalendo Makonda?
 
Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Ambacho huwa kinatokea, ni wakati fulani kuwa na hali ya unafuu, na wakati mwingine hali kuwa mbaya zaidi.

Huwezi kuwa na demokrasia wakati una katiba na sheria za kidikteta.
Uko sawa,na nikwambie ukweli tuu hatutakuja kuwapa sheria na katiba mpya inayowafaa kwenye kisahani,tutaweka katiba yenye ulinzi kwetu,jipangeni si lelemama na tunajua nyie ni laini tu endeleeni kulalama kama mbuzi anamwezwa na chatu
 
Doh!

Pengine na wewe una PhD

Hovyo kabisa
 
Na wakifa wao??? Au wazuri hawafi???
tuombee hilo litokee... lakini hali ni ngumu mno kwàni hilo kundi lina pambana kwa hali na mali kuhakikisha wanarithisha ujangili wao kwa vizazi vyao😭😭😭

na ukionekana wewe ni kikwazo kwao unazimwa kama taa😭😭😭 hii nchi ngumu ndugu zangu... hakuna maombi yatakayo weza kuinuthuru hii nchi...! kwasababu hatuna viongozi wakweli wa Dini...!​
 
Kwani mikopo inakuuathiri Nini mkuu. Nenda nchi zilizoendelea uone zinadiwa kiasi gani. Maendeleo ni technique mkuu. Ni Bora Samia anakopa na mnajua, je jpm aliyekuwa anakopa kimya kimya tena mikopo ya ghari sana mpaka GAG ndo akamuumbua.
 
SSH ni jambazi mbaya kuliko magufuli!
 
Kwa kifupi ni mbovu kwa kila jambo, tunavyompa kichwa anaweza ndio anaendelea kuharibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…