Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!
Ushauri
Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu
Karibuni
Anza pole pole " ntakufundisha tu"
Mmh!SIDANGANYIKI!
Ntakuwezesha :A S-alert1:
Kwahiyo nadanganyika kua sidanganyiki sio?Hahaha sio kweli!Sidanganyiki kua sidanganyiki.,ni kweli sidanganyiki!kutokudanganyika nako ni kudanganyika pia, ushanifahamu weye
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!
Ushauri
Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu
Karibuni
Ungesoma na hii post ya jamaa anaelalamika mwenza wake kutompa mambo fulani mpaka John Walker kwanza, ingekusaidia
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/95488-sipati-unyumba-hadi-alewe-chakari.html
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!
Ushauri
Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu
Karibuni
I agree with u 100%, check my signature!!!! nawahi bia mkuu...Tena siku hizi kuna kila aina ya kinywaji huwezi sema hujapata ulabu unaoendana na wewe...ndo maana nawapenda mademu wa Arusha hawana cha kuzunguka sijui wine mara savannah wao straight mnaanza na shots mnakuwa mshatoa aibu kuanzia hapo demu wako anakuwa best yako....