Mambinti wanopeleka ulabu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!

Ushauri

Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu

Karibuni
 
Kimweka taratibu wengine sie hatutumii na tumeshaanza kuzeeka sasa itakuwaje jamani
 
hahaaa yaani kuiona tu hii post nikamkumbuka NYANZALA wangu ...hahaaaa Martins plus Cinzano....aluuuuuuuuuuuuuuuu
 
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!

Ushauri

Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu

Karibuni

hapa nakuunga mkono kabisa, mimi nishazoea nikikuta bibie kautwika najua leo nakula maneno, yatashushwa yote niliyomkera kama alivumilia mwezi au wiki , baada ya hapo anakuomba msamaha kabla hata ulabu kumuishia kichwani........... vry interesting coz huwa nabaki kumtazama tu huna la kufanya
 
Mh hapo mkuu usitutafutie shida wanaume,bora utuache na wenzi wetu wasiotumia hiyo kitu,kwani ni nani asiyejua purukushani za wanamama wanaopiga ulabu?
 
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!

Ushauri

Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu

Karibuni

Ungesoma na hii post ya jamaa anaelalamika mwenza wake kutompa mambo fulani mpaka John Walker kwanza, ingekusaidia

https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/95488-sipati-unyumba-hadi-alewe-chakari.html
 
Katika sehemu mbalimbali nilizowahi kupita, Nimekuwa nikifuatilia mabinti ambao hutumia ulabu na nimegundua wengi wao ni wepesi kjieleza kwa wenza wao jinsi wajisikiavyo kimapenzi na hisia zao na mambo mengine waziwazi bila kuficha kuliko wasio tumia, Hivyo kupelekea uhusiano wao kuwa imara zaidi!

Ushauri

Msiotumia nawashauri mtumie angalau kidogo tu kama kiburudisho kwa ajili ya afya zenu na kujenga mahusiano mazuri kwa wenza wenu kwa kuwa wawazi kwa mambo yaliyoko kwenye mioyo yenu

Karibuni

Tena siku hizi kuna kila aina ya kinywaji huwezi sema hujapata ulabu unaoendana na wewe...ndo maana nawapenda mademu wa Arusha hawana cha kuzunguka sijui wine mara savannah wao straight mnaanza na shots mnakuwa mshatoa aibu kuanzia hapo demu wako anakuwa best yako....
 
I agree with u 100%, check my signature!!!! nawahi bia mkuu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom